Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 07.02. 2014


TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

“PRESS RELEASE” TAREHE 07.02. 2014.



·         WATU 03 WA FAMILIA MOJA WAFARIKU DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA UKUTA MKOANI MBEYA.


·         WATU 07 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA WAKIWA NA POMBE HARAMU YA MOSHI.



WATU 03 WA FAMILIA MOJA WAFARIKU DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA UKUTA MKOANI MBEYA.


watu watatu wa familia moja waliotambulika kwa majina ya steven mwaijombe (35) baba wa familia, ester kibona (25)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 10.02. 2014.

MTU MMOJA ANAYESADIKIWA KUWA  JAMBAZI SUGU AMEUAWA NA WANANCHI WILAYANI MOMBA.


MNAMO TAREHE 09.02.2014 MAJIRA YA SAA 18:20HRS JIONI MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA HEZRON MWAISANILA (22) MKAZI WA ILOMBA JIJINI MBEYA ALIFARIKI DUNIA WAKATI ANAPATIWA MATIBABU HUKO KATIKA KITUO CHA AFYA TUNDUMA WILAYA YA MOMBA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA WANANCHI WALIOAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI WAKITUMIA SILAHA ZA JADI FIMBO NA MAWE.  CHANZO CHA MAUAJI HAYO NI TUHUMA ZA WIZI BAADA YA MAREHEMU HUYO...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 01.07.2014.

KATIKA TUKIO LA KWANZA: MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA RAHABU KIHANIKU (60)MKAZI WA KIJIJI CHA KIKOTA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI BAADA YA  KUFIKISHWA HOSPITALI YA  SERIKALI MAKANDANA – TUKUYU KWA MATIBABU BAADA YA KUGONGWA NA PIKIPIKI YENYE NAMBA ZA USAJILI T.343 CMQ AINA YA HONDAILIYOKUWA IKIENDESHWA NA NDULA MWASANGAJA (32) MKAZI WA MTAA WA BAGAMOYO –TUKUYU.
AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 30.06.2014 MAJIRA YA SAA 06:00 ASUBUHI KATIKA KIJIJI CHA KIKOTA, KATA YA KIWIRA, TARAFA YA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani