TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 09.02. 2014.
AFISA MSAMBAZAJI WA TANROAD AFARIKI
DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI MKOANI MBEYA.
GARI LISILOFAHAMIKA NAMBA ZAKE ZA USAJILI WALA DEREVA WAKE LILIMGONGA MPANDA PIKIPIKI AITWAYE ANDREW CHIWINGA (50) AFISA MSAMBAZAJI WA TANROAD NA MKAZI WA IWAMBI MBEYA ALIYEKUWA ANAENDESHA PIKIPIKI YENYE NAMBA ZA USAJILI STK 8793 AINA YA TVS STAR NA KUSABABISHA KIFO CHAKE PAPO HAPO.
AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 08.02.2014 MAJIRA YA SAA 20:45HRS USIKU ENEO LA IYUNGA WILAYA YA MBEYA VIJIJINI. CHANZO CHA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi05 Mar
11 years ago
Michuzi28 Apr
11 years ago
Michuzi03 Jun
11 years ago
Michuzi11 Jun
10 years ago
Michuzi10 Dec
11 years ago
Michuzi10 Jun
11 years ago
Michuzi10 Feb
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 10.02. 2014.
MNAMO TAREHE 09.02.2014 MAJIRA YA SAA 18:20HRS JIONI MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA HEZRON MWAISANILA (22) MKAZI WA ILOMBA JIJINI MBEYA ALIFARIKI DUNIA WAKATI ANAPATIWA MATIBABU HUKO KATIKA KITUO CHA AFYA TUNDUMA WILAYA YA MOMBA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA WANANCHI WALIOAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI WAKITUMIA SILAHA ZA JADI FIMBO NA MAWE. CHANZO CHA MAUAJI HAYO NI TUHUMA ZA WIZI BAADA YA MAREHEMU HUYO...
10 years ago
Michuzi09 Oct
11 years ago
Michuzi24 Feb
11 years ago
Michuzi01 Jul
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 01.07.2014.
AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 30.06.2014 MAJIRA YA SAA 06:00 ASUBUHI KATIKA KIJIJI CHA KIKOTA, KATA YA KIWIRA, TARAFA YA...