TAARIFA YA POLISI KUTOKA MKOA WA MBEYA LEO
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOA WA MBEYA
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linafanya msako mkali kumtafuta HAKIMU JAMES MWAKIFUNA miaka [20]Mnyakusa wa Kiwira kwa kosa la Mauaji ya makusudi ya bibi JUNE SANKANYE miaka [65] wa kijiji cha Nkunga Kata ya Nkunga {T} Ukukwe.
Tukio hili lilitokea tarehe 23/04/2020 saa 05:00 Wilaya ya Rungwe. Marehemu ambaye ni bibi mzaa baba wa mtuhumiwa walilala nyumba moja. Huku mtuhumiwa akiwa sebuleni na marehemu amelala chumbani.
Usiku muda usiojulikana HAKIMU JAMES MWAKIFUNA alichukua kitu chenye...
Tukio hili lilitokea tarehe 23/04/2020 saa 05:00 Wilaya ya Rungwe. Marehemu ambaye ni bibi mzaa baba wa mtuhumiwa walilala nyumba moja. Huku mtuhumiwa akiwa sebuleni na marehemu amelala chumbani.
Usiku muda usiojulikana HAKIMU JAMES MWAKIFUNA alichukua kitu chenye...
5 years ago
MichuziTAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOA WA MBEYA
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI.
KUINGIZA GARI NCHINI BILA KIBALI.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili BAKARI WALII SEMVUA [31] Mfanyabiashara na mkazi wa Mbagala Jijini Dar -es- Salaam na VICTOR JIMMY BROWN[25] Dereva/fundi, mkazi wa Tabata Segerea Jijini Dar -es- Salaam kwa tuhuma za kuingiza Gari nchini bila kibali.
Watuhumiwa walikamatwa mnamo tarehe 17.03.2020 majira ya saa 19:50 usikuhuko eneo la Mafiati, Kata ya Manga, Tarafa ya...
10 years ago
Michuzi28 Oct
11 years ago
Michuzi19 Jun
11 years ago
Michuzi25 Feb
11 years ago
Michuzi15 May
11 years ago
Michuzi13 Mar
11 years ago
Michuzi24 May
11 years ago
Michuzi27 Apr
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 27.04.2014.
KATIKA TUKIO LA KWANZA:
MTOTO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA VANESA PATRICK NJOJO (03) MKAZI WA ISISI, WILAYANI MBARALI ALIUAWA KWA KUPIGWA NGUMI NA BABA YAKE MZAZI AITWAYE PATRICK NJOJO (23) MKAZI WA ISISI.
TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 26.04.2014 MAJIRA YA SAA 23:45USIKU HUKO KATIKA KIJIJI CHA ISISI, KATA NA TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA. INADAIWA KUWA CHANZO CHA TUKIO HILI ULEVI WA POMBE ZA KIENYEJI WA BABA HUYO. MTUHUMIWA AMEKAMATWA, MWILI WA MAREHEMU...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania