Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika (Misa) yampata 'tano' Jokate
![](http://1.bp.blogspot.com/-eAgmLqj8-B0/VQBCWsivisI/AAAAAAAHJjc/NhVSFOWpH3o/s72-c/unnamed%2B(77).jpg)
Mwandishi wetuTaasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika, (MISA) imemtangaza mrembo mwenye vipaji vingi hapa nchini, Jokate Mwegelo, kuwa miongoni mwa wanawake tisa waliofanya mambo makubwa katika jamii kwa ukanda wa nchi za Kusini mwa Afrika ijulikanayo kwa jina la “Misa’s Women to Watch’.
Kwa mujibu wa taraifa iliyotolewa na MISA wakati wa siku ya wanawake Duniani, Jokate ambaye ni mfanyabiashara, mwanamitindo, mtangazaji, mwanamuziki, mbunifu wa mavazi na muigizaji wa filamu amepata...
Michuzi