TAMASHA LA KUONESHA VIPAJI BAINA YA WANAFUNZI WA SHULE ZA ST MARY'S INTERNATIONAL ZA DAR ES SALAAM LAFANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-e05HgFQrKUU/VGo75HWfYgI/AAAAAAACuz0/zeZBvOz6cL0/s72-c/001.jpg)
Mkurugenzi wa Shule za St Mary's, mama Getrude Lwakatare akizungumza na wanafunzi wa Shule za St Mary's International za Dar es Salaam wakati akizundua tamasha la kuonyesha vipaji vya wanafunzi wa Shule za St Mary's International za Dar es Salaam lililofanyika mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.PICHA NA PHILEMON SOLOMON
Mkurugenzi wa Shule za St Mary's, mama Getrude Lwakatare (kushoto), akikabidhiwa baadhi ya Peni na Meneja Masoko wa Kampuni ya...
Michuzi