Tanzania, Oman waunda baraza la biashara
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda, amezindua baraza la muunganiko wa wafanyabiashara wa Tanzania na Oman (JBC) litakalosaidia kukuza sekta ya biashara kwa nchi mbili. Akizungumza jana wakati wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKIKAO CHA PILI CHA BARAZA LA BIASHARA KATI YA OMAN NA TANZANIA
KIKAO CHA JBC KIKIENDELEA KATI YA WAJUMBE WA TANZANIANA OMAN KATIKA MAKAO MAKUU YA OMAN CHAMBER OF COMMERCE KUTOKA KULIA WAPILI NI MWENYEKITI MWENZA-OMAN SK SAUD RAWAHI ,WATATU MWENYEKITI MWENZA TANZANIA ND. MAEMBE AKIFUATIA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN MHESHIMIWA ALI AHMED SALEH KIKAO KIKIENDELEA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KIKAO UJUMBE WA TANZANIA PIA ULIPATA FURSA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO MAALUM YA FURSA ZA BIASHARA NCHINI OMAN.UJUMBE WA TANZANIA UKITEMBELEA ENEO LA VIWANDA NA BANDARI...
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
Rais Kikwete afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 2, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015.. Washiriki wa mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watumishi wa TNBC...
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru. Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani, Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...
9 years ago
GPLRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015…
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
Rais Kikwete akiongoza mkutano wa nane wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Wengine toka kulia ni Katibu Mkuu...
10 years ago
MichuziKATIBU MTENDAJI BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU MKUTANO WA NANE WA BARAZA HILO UTAKAOFANYIKA DESEMBA 16 ZANZIBAR
Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai wa kwanza (kulia) akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa nane wa Baraza hilo, utakaofanyika Disemba 16 Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Wandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai ofisini kwake Kinazini Mjini Zanzibar.Mwandishi wa Habari wa Radio Coconat Fm Tabia Makame akiuliza swali kuhusu Mkutano wa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Wajumbe Baraza la Biashara Dar wafundwa
WAJUMBE wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dar es Salaam wamehimizwa kuunganisha nguvu ili baraza hilo liweze kutekeleza majukumu yake kwa ajili ya kukuza biashara na uchumi wa mkoa na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania