Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania:Idris mshindi Bigbrother 2014

Mtanzania, Idris Sultan ameibuka mshindi wa mashindano ya Bigbrother yaliyofanyika Afrika kusini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mshindi wa Big Brother Africa 2014,idris sultan awasili nchini

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akishangilia wakati alilakiwa na Washabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere,Jijini Dar es salaam leo akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika mashindano hayo.Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kati) akijadiliana...

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi wa Big Brother 2014,Idris Sultan azungumza na wanahabari jijini dar leo

 Mshindi wa Big Brother 2014,Idris Sultan akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es salaam leo,wakati akizungumzia ushindi wake na uzoefu alioupata katika Jumba hilo la Big Brother huko nchini Afrika Kusini.Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Furaha Samalu na kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi.  Mshindi wa Big Brother 2014,Idris Sultan akisisitiza jambo wakati akiongea na...

 

10 years ago

GPL

IDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014

Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu. Idris Sultan akiwa katika…

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA BBA IDRIS SULTAN ATINGA GLOBAL TV ONLINE

 Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akijiandaa kufanya mahojiano na wafanyakazi wa Global Publishers kupitia Global TV Online. Idris Sultan akifafanua jambo kwa wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Bongo5

Idris Sultan aibuka mshindi wa shilingi milioni 514 za Big Brother

Idris Sultan ndio mshindi wa Big Brother Africa Hotshots. Baada ya kutupa karata yake kwa takriban miezi miwili ndani ya jumba hilo lililopo nchini Afrika Kusini, Afrika imemchagua kuwa mshindi wa msimu huo wa Big Brother na hivyo kushinda kitita cha $300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 514 za Tanzania. Idris ambaye ni mpiga […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani