Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA MBALI MBALI ZA TAMASHA LA NYAMA CHOMA JIJINI DAR

 Wadau ndani ya Tamasha la Nyama Choma,toka kulia ni Dimo Dibwe,Carol Ndossi (Muandaaji wa Tamasha hilo la Nyama Choma) pamoja na Mdau Edwin MacTemba.  Nyama ikiendelea kuiva jikoni huku walaji wakiendelea kuimezea Mate.   Mtaalam wa kuchoma nyama toka jamii ya Kimasai akitest mzigo kama uko poa.  Wadau wakiendele kutafuna nyama huku zingine zikiendelea kuiva taratibu.  Maandalizi ya Nyama yakiendelea.  Mshkaki maridadi kabisa.
BOFYA HAPA KWA PICHA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI ZA MCHEZO WA VIONGOZI WA DINI ULIOCHEZWA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

Mshambuliaji Machachari wa timu ya Mshikamano (kulia) akijaribu kutaka kumtoka beki wa timu ya Amani katika Mchezo uliowakutananisha viongozi wa Dini nchini ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha Amani na Mshikamano kwa Taifa la Tanzania uliocheza jana kwenye Uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.hadi mwisho wa Mchezo timu ya Amani ilishinda goli 1-0.Picha na Othman Michuzi.Golikipa hodari kabisa wa timu ya Amani akidaka mpira kwa uhodari mkubwa katika Mchezo uliowakutananisha viongozi wa Dini nchini...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA KWA BAR MBALI MBALI NCHINI

Meneja wa bia ya Safari Lager, Edidh Bebwa(kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa masindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2015 uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Jaji Mkuu wa mashindano hayo, Manase Mwasha. Jaji Mkuu wa mashindano Safari Nyama Choma, Manase Mwasha(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa masindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2015 uliofanyika Dar es Salaam leo.Kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lager, ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI ya Msama Promotions YATOA MSAADA WA VITU MBALI MBALI KWA VITUO 10 VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR


KAMPUNI ya Msama Promotions chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, jana ilikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo 10 vya kulea yatima ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia makundi maalumu katika jamii.

Akikabidhi misaada hiyo katika ofisi zake zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Msama alisema misaada hiyo ni sehemu ya fedha za mauzo ya DVD za Tamasha la Pasaka la mwaka huu.
Msama alisema kupitia mauzo ya DVD za Tamasha hilo ambalo lilifanyika April 6 katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi (kulia) akizungumza , Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014. Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 12, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge...

 

10 years ago

Michuzi

Taswira mbali mbali za Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Vito ya Arusha (AGF)

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava, (wa tatu kutoka kushoto) akizindua Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Vito ya Arusha yaliyofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 19 hadi 20 Novemba 2014. Wanaoshuhudia uzinduzi huo ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja (kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA) Sammy Mollel (kulia). Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava, (kushoto) akihutubia wadau...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALIM LA KATIBA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na mjumbe wa Bunge la Bunge Maalum la Katiba, Margaret Sitta,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.…

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi yaWaziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wasanii kutoka kikundi cha Pilipili Entertainment, Ahmed Olotu maarufu kwa jina la Chillo (katikati) na Madame Kitu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani