TASWIRA NDANI YA JIJI LA ABUJA,NIGERIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-QSvpOS34hxE/U2qnVSRtEMI/AAAAAAAFgKo/_fcLxHzTo28/s72-c/a1.jpg)
Jiji la Abuja, ambao ndilo makao makuu ya nchi ya Nigeria, lipo katikati ya nchi hiyo kubwa na tajiri yenye utajiri mkubwa wa mafuta na gesi. Mji huu ulijengwa miaka ya 1980, na ukatangazwa rasmi kuwa makao makuu ya nchi December 12, 1991, kuchukua nafasi ya jiji la Lagos, ambalo linabakia kuwa ni jiji lenye wakazi wengi kuliko sehemu yoyote katika Nigeria. Kama ilivyo ada, Abuja limekua siku hadi siku huku likishuhudia ongezeko kubwa la watu kiasi cha serikali kulazimika kuanza kujenga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ujcza9N5GbJHQ7R0asp2SKFiCT0r0UiSKF4Lo4fg0-HxXENtQvjbEbmhLuYUV4nR6rcNOGQdv6gNQ1mGmqFeSM8GnxFJ43nQ/a1.jpg?width=650)
JIJI LA ABUJA, NIGERIA
11 years ago
BBCSwahili04 May
Nigeria wafanya msako mkali Abuja
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoZzNhm40te9mKKkUxbvbkhCP3rspnbKrOXCj4k67jLctKU0AIhOeiQF-amNEBUD730LcbZtxmomBmn8p9djDoLr/abuja13.jpg?width=650)
MLIPUKO WA BOMU WAUA 21 ABUJA NIGERIA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LXgoLeoRllo/U2a7r6VayyI/AAAAAAAFfko/GgcFcvy_N_Y/s72-c/IMG_6283.jpg)
ankal atua jijini abuja, nigeria
![](http://4.bp.blogspot.com/-LXgoLeoRllo/U2a7r6VayyI/AAAAAAAFfko/GgcFcvy_N_Y/s1600/IMG_6283.jpg)
9 years ago
BBC03 Oct
Bomb blasts hit Nigeria capital Abuja
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74594000/jpg/_74594098_74593949.jpg)
VIDEO: Nigeria capital Abuja hit by blast
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MbwNI2H7qJo/U7CLMMrBAiI/AAAAAAAFtjU/eRxaLfq2Ats/s72-c/unnamed+(39).jpg)
Tanzania celebrates International Day in abuja, Nigeria
![](http://3.bp.blogspot.com/-MbwNI2H7qJo/U7CLMMrBAiI/AAAAAAAFtjU/eRxaLfq2Ats/s1600/unnamed+(39).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7ph9x7puI5c/U7CLMo85BmI/AAAAAAAFtjY/hD-74aJ7rWc/s1600/unnamed+(40).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-q4Gr7ILdQsc/U7CLMnCq4HI/AAAAAAAFtjc/p2C7PHUFQ4Y/s1600/unnamed+(41).jpg)
5 years ago
BBC28 Apr
Coronavirus: Nigeria to ease Abuja and Lagos lockdowns on 4 May
11 years ago
MichuziRATIBA YA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MUUNGANO WA TANZANIA-ABUJA,NIGERIA
-Tarehe 25/04/2014 kutakuwa na maaonyesho ya Utalii na fursa za Uwekezaji zilizopo Tanzania, na jioni kutakuwa na tafrija fupi katika Hotel ya ...