Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA MKUTANO WA CHADEMA JIJINI ARUSHA JANA

Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akihutubia katika mkutano uliofanyika jana kwenye Uwanja vya Samunge, Kilombero jijini Arusha. Makamanda wa Chadema wakifuatilia mkutano…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI ILIYOTOKEA KIKATITI JIJINI ARUSHA JANA

Mwili wa mwanamke anayedaiwa kuwa mke wa mmiliki wa hoteli na klabu ya AQ baada ya ajali. Basi la Mrindoko Trans baada ya ajali hiyo.…

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA CHADEMA ULIOFANYIKA TANGANYIKA PACKERS KAWE JANA JIJINI DAR

 Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Mh.Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Parkers Jana, ambapo pia alizindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee.  Mh Freeman Mbowe, Halima Mdee na John Mnyika wakizindua kitabu cha Mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee  Gwajima akiwa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA… ...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira za Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya afrika mashariki jijini Arusha

 Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Arusha.  Rais Uhuru Kenyata wa Kenya ambae ndie Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Mwenyeji wa Mkutano huo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Wengine ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Burundi Bwana Bazombasa, Makamu wa Pili...

 

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU (MB), AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA MAJADILIANO KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI MAENEO YA JUMUIA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI TANZANIA, ULIOANZA JANA JULAI 2, 2015, JIJINI ARUSHA.

Imetayarishwa na theNkoromo Blog WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini Arusha. WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana mdau wa masuala ya uhifadhi na utalii Willy Chambulo,...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIJINI MWANZA ULIVYOKUWA JANA

Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mbugani wakiwa wamemaliza kupiga kura na kusogea umbali wa kilometa 100 unaotakiwa wakisubiri matokeo ya uchaguzi huo hapa jijini Mwanza jana. Mama aliyefahamika kwa jina la Gelda Nathaeli wa Kata ya Mbugani akiwa anapiga kura ya kumchagua kiongozi anayemtaka katika uchaguzi…

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA: MKUTANO WA CHADEMA MUSOMA

Mkutano wa Chadema mji wa Musoma ukiwa umehudhuriwa na mtu nyomi.Chadema wakiwa Musoma mkoani Mara wakiungurumaUmati wa watu wakiwa kwenye mkutano wa Chadema Musoma mkoani Mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani