Team Nimes'tuka yavamia Shinyanga na kufanya mikutano na wananchi

Kundi la wasanii wanaomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dk John Pombe Magufuli jana niliingia mkoani Shinyanga kuhamasisha wananchi umuhimu wa kusikiliza sera kwa kina na kupima ukweli katika utekelezaji wake.
Kundi hilo linaloundwa na muunganiko wa wasanii wa filamu na muziki, limetimiza siku ya 15 ya ziara zao za Kijiji kwa Kijiji ambapo lengo kuu ni kuwastua vijana wenzao kuacha kufuata mkumbo, na badala yake kusikiliza sera kwa umakini na kupima ukweli wa...
Vijimambo