Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF: Prisons tafuteni uwanja

>Shirikisho la Soka Tanzania, TFF limeitaka Prisons kutafuta uwanja wa kucheza mechi yake ya kwanza ya mzungumko wa pili Ligi Kuu Jumamosi ijayo baada ya Uwanja wa Sokoine kufungiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TFF yaanza kuendeleza uwanja wake Tanga

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, amesema wameanza rasmi mchakato wa kuendeleza uwanja wake uliopo eneo la Mnyanjani jijini Tanga, ambapo upimaji udongo sahihi unafanyika. Kwa mujibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Ung’oaji viti Uwanja wa Taifa waiponza TFF

Serikali imelipiga faini ya Sh15 milioni Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na uharibifu uliofanywa na baadhi ya mashabiki katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika raundi ya kwanza kati ya Yanga na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Machi Mosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL EMIL MALINZI ATEMBELEA UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA

Na Faustine Ruta, BukobaRais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Emil Malinzi wa pili kutoka (kushoto) akiongozana na Baadhi ya Viongozi wa Mpira hapa Nchini leo hii Mchana alipowasili katika Uwanja wa Kaitaba unaokarabatiwa kuwekwa Nyasi za Bandia. Bw. Jamal Emil Malinzi pia ndie Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) alipowasili hapa Bukoba amezungumza na Viongozi wa Soka Mkoani hapa Kagera na baadae.Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi pia aliambatana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli, Mwakyembe tafuteni ufumbuzi wa hili

UJENZI wa barabara ya Morogoro kutoka Posta hadi Kimara ulipoanza, kila raia anayetumia njia hiyo ya kuingia na kutoka nje ya Jiji la Dar es Salaam alishukuru na kuipongeza sana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani