Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Time ya kuenjoy na ujio mpyampya wa Sauti Sol mwaka 2016, -‘Relax’ (+Video)

2016 mwaka mwingine, na kila mtu anaanza mwaka kivyake… Sauti Sol ni mastaa wakubwa kutoka Kenya mtu wangu… muziki wao umefika mbali na wamefanikiwa kuingia kwenye headlines za mastaa wa kimataifa pia !! Naomba nikufahamishe kwamba December 01 2016 wao wameanza na kuachia mdundo wao mpya walioupa jina la ‘Relax‘… hii hapa kama bado hujaipata […]

The post Time ya kuenjoy na ujio mpyampya wa Sauti Sol mwaka 2016, -‘Relax’ (+Video) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Alikiba na Sauti Sol washoot video ya collabo yao

12142150_1495334807428324_1398203255_n

Wimbo wa Sauti Sol waliomshirikisha Alikiba haupo kwenye album yao ‘Live and Die in Afrika’ lakini huenda video yake ikatoka mapema.

Kiba ameshare kipande kifupi cha video kikiwaonesha wakiwa kwenye chumba kinachoonekana kama sehemu ya kufanyia video.

“It’s Coming @sautisol #KujuaKaziRahaSana #KingKiba,” ameandika.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Sauti Sol – Relax

relax

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya liliumaliza mwaka 2015 likiwa limepeleka sokoni album yao ya tatu, ‘Live and Die in Africa’ ambayo ina mkusanyiko wa hits zao zilizotoka na ambazo hazijatoka. Sauti wanaukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuachia video mpya ya ‘Relax’, wimbo unaopatikana kwenye album hiyo. Itazame hapa

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Sauti Sol — Isabella (Official Music Video)

Ikiwa bado ya moto moto, Sauti Sol wameachia video ya wimbo wao mpya ‘Isabella’, ambayo ni single ya sita kutoka kwenye album yao mpya ijayo ya tatu ‘Live and Die in Afrika’. Video imefanyika Las Vegas, Marekani. Itazame hapa Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: SAUTI SOL - RELAX (Official Video)



Published on Jan 1, 2016Relax is track no.15 and the last song off Sauti Sol's brand new album titled 'Live and Die in Afrika' - released on Nov 21st 2015. The video features behind the scene video clips of the group's 2015 shows, tours and events; basically summing up what has been a very successful year for Sauti Sol. The song is a dedication to their fans who've supported them from day one. Sauti Sol's rise and success which has propelled them to be counted among Africa's music giants is...

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Sauti Sol – Live And Die In Afrika

sautiii

Kundi la Sauti Sol limeachia album yao mpya pamoja iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu, lakini sambamba na kuachia album pia wametoa na vdeo mpya ya wimbo unaobeba jina la album hiyo ‘Live And Die In Afrika’.

http://bit.ly/1I2dZOM

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Michuzi

SAUTI SOL RELEASE “RELAX” BRAND NEW MUSIC VIDEO

​​Multiple award-winning group Sauti Sol release the music video of RELAX, the seventh single off their new album: Live and Die in Afrika (released Nov 21st 2015). RELAX is a bona fide feel-good track and a dedication to all Sauti Sol fans, and music fans worldwide. 
The video of RELAX features behind the scenes video clips of the group's 2015 shows, tours and events, summing up what was a successful year for Sauti Sol. From Rwanda to USA, they include Sauti Sol’s debut at Kigali Up Festival,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani