Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu ya Kenya ya Raga yawasili UK

Timu ya Kenya ya raga ya wachezaji 7 maarufu Shujaa, imewasili Glasgow nchini Uingereza huku ikijiandaa kwa michuano ya sevens

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Timu ya raga ya AK yakumbwa na utata

Jaji mmoja nchini Afrika Kusini ameshutumu mwendo wa pole wa mabadiliko yanayotekelezwa katika secta ya michezo nchini humo

 

9 years ago

BBCSwahili

Timu ya raga yakumbwa na kashfa ya ubaguzi-AK

Chama cha kisiasa nchini Afrika Kusini kimewasilisha kesi kuzuia timu ya taifa ya raga kushiriki katika fainali za kombe la dunia

 

11 years ago

BBCSwahili

Raga;Kenya yaishinda Namibia 29-22

Kenya imeshinda Namibia 29-22 katika mchuano wa kufuzu kwa kombe la dunia

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAWASILI SALAMA MKOANI MWANZA, ZOEZI KUANZA JUMAMOSI

Mabasi yaliyokuwa yamebeba timu nzima ya Proin Promotions Limited yakiwa yamewasili Mkoani Mwanza Usiku huu. Baadhi ya Timu ya Wafanyakazi Kutoka Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waendeshaji na wasimamiaji wa Mashindano ya Kusaka Vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents wakiwa wanashuka katika Moja ya Basi lililokuwa limebeba wafanyakazi na timu nzima ya Proin Promotions Limited mara baada ya kuwasili mkoani Mwanza Usiku huu. Timu nzima ya Proin...

 

10 years ago

BBCSwahili

OBAMA:BBC Pop up yawasili Kenya

Kipindi cha BBC Pop up tayari kimewasili katika jiji la Nairobi nchini Kenya ili kuangazia baadhi ya taarifa za maandalizi na shamra shamra za kuwasili kwa rais Obama wa Marekani.

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS YAWASILI SALAMA MKOANI DODOMA TAYARI KWA ZOEZI LA USAILI LITAKALOANZA NA PROMOTION PARTY NDANI YA CLUB 84 LEO

Hatimaye kikosi kazi cha Proin Promotions Limited kimeshawasili mkoani Dodoma tayari kwa Kazi ya Kusaka vipaji vya kuigiza Katika Kanda ya Kati ambayo inawakilishwa na Mkoa wa Dodoma. 
Shindano hili linaendelea ambapo awali lilianzia Kanda ya Ziwa Mkoani Mwanza na hatimaye kupatikana kwa washindi watatu wa kanda ya Ziwa huku wakisubiri washindi wa Kanda nyingine kupatikana Kwaajili ya fainali kubwa itakayofanyika Mkoani Dar Es Salaam na mshindi mmoja kuibuka na Kitita Cha Shilingi Milioni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Timu ya soka ya Kenya kwenda Brazil

Sio kushiriki mechi yoyote bali kutazama michuano ya kombe la dunia. Ni zawadi waliyopokea kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani