TMA YAWAHAMASISHA WANASAYANSI WA KITANZANIA KUJIKITA KATIKA TAFITI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imeandaa warsha ya kuhamasisha matumizi ya utafiti wa mabadiliko ya hali ya hewa ikizingatia matokeo na taarifa za hivi karibuni za Jopo la Kimataifa linaloshughulikia Sayansi ya mabadiliko ya Hali ya Hewa duniani (IPCC). Warsha hiyo imefanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, Dar es Salaam, Tarehe 18 Novemba 2014.
Warsha hiyo ilifunguliwa na Mhandisi James Ngeleja ambaye alimwakilisha mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Bw. Morisson Mlaki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s6H8gBDNMEY/VIVjIbUrWrI/AAAAAAAG16A/Rbr5217A81c/s72-c/unnamed%2B(68).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s72-c/uk-met.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s1600/uk-met.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Apr
Mabadiliko ya hali ya hewa changamoto kwa TMA
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi amesema mabadiliko ya mifumo ya hali ya hewa ambayo yanatokana na mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa changamoto kubwa kwa wataalamu wa hali ya hewa nchini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CWrN_zGpowE/Xt9ZuGgT1zI/AAAAAAALtJo/nLdi_CaTmpo6kZF7UfuVn5oxCPXyVjBpgCLcBGAsYHQ/s72-c/TMA.jpg)
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.
![](https://1.bp.blogspot.com/-CWrN_zGpowE/Xt9ZuGgT1zI/AAAAAAALtJo/nLdi_CaTmpo6kZF7UfuVn5oxCPXyVjBpgCLcBGAsYHQ/s400/TMA.jpg)
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...
9 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS AITAKA TMA KUTOA TAHADHARI ZA HALI YA HEWA KATIKA MAENEO MADOGOMADOGO NCHINI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dc4Mwrw6QT4/VBgiuf69GBI/AAAAAAAGj8M/-FVeHCAjxng/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA ALAT MKOA WA DODOMA AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA TMA KATIKA KUWAPATIA WAKULIMA TAARIFA ZA HALI YA HEWA
10 years ago
VijimamboHALI YA HEWA YAENDELEA KUWANOA WATAALAMU WAKE KATIKA KUKIDHI VIGEZO VYA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)
IMG0086: Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya huduma za hali ya hewa kwa ajili ya usafiri wa anga kutoka Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma,Kulia kwake mwenye tai nyekundu ni Mkuu wa Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma Bw. Joseph...
11 years ago
Habarileo20 Apr
TMA: Msidharau taarifa za hali ya hewa
WATANZANIA wametakiwa kutodharau tafiti na taarifa, zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwani mabadiliko ya mara kwa mara ya hali ya hewa yanayotokea yanaweza kuleta madhara.