Tume ya Uchaguzi inaendeshwa kwa ‘rimoti’?
Mkutano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na vyama vya siasa uliofanyika katikati ya wiki umethibitisha hofu yetu tuliyoielezea awali kwamba tume hiyo isipojitambua na kuacha ubabaishaji na kauli zinazokinzana, itavuruga mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na kusababisha vurugu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
VijimamboTUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWAMU YA NNE KWA MAJIMBO YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS LEO ASUBUHI
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboTUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWAMU YA SABA(7) KWA MAJIMBO 51 YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS LEO ASUBUHI
10 years ago
Vijimambo
TUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWALI KWA MAJIMBO MATATU YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS






ENDELEA KUTUFUATILIA IFIKAPO SAA SITA MCHANA