Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumejipanga kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona – Profesa Manya

Na Greyson Mwase, Dodoma
Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya amesema kuwa Tume ya Madini Makao Makuu pamoja na Ofisi zilizopo chini yake zimejipanga katika kukabiliana na maambukizi ya virusi vya korona.
Akizungumza jijini Dodoma leo tarehe 20 Machi, 2020 amesema kuwa hatua hiyo ni sehemu utekelezaji wa wito wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Miongozo ya Shirika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Ghana yaondoa 'lockdown' baada ya kudhibiti kasi ya maambukizi

Mpaka sasa Ghana imesharekodi wagonjwa 1,042 wa virusi vya corona na vifo tisa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Maafisa Nigeria wavunja hoteli kudhibiti maambukizi ya Covid-19

The managers of the two hotels in southern Nigeria's Rivers state deny that they broke the rules.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Yoweri Museveni awaonyesha Waganda jinsi ya kufanya mazoezi ya nyumbani kudhibiti maambukizi

Uganda imepiga marufuku kufanya mazoezi ya mwili ya umma kama njia ya ziada ya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kuvuta maji ya choo 'kunaweza kurusha virusi vya maambukizi futi 3 hewani'

Kusukuma maji ya choo cha ndani kunaweza kusababisha wingu ambalo la sprey ambalo linaweza kuvutwa kwa pua na linaweza kusambaza maambukizi, kama vile virusi vya corona, wanasema watafiti.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mikutano mikubwa ya Kampeni za uchaguzi yaibua hofu ya maambukizi ya virusi vya corona

Picha zinazoonyesha mikusanyiko ya maelfu ya watu waliokusanyika Jumatatu kwa uzinduzi wa mikutano ya kampeni za kisiasa nchini zimeibua wasi wasi mkubwa ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona kabla ya taifa hilo kufanya uchaguzi unaotarajiwa tarehe 20 Mei mwaka huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Muigizaji maarufu wa filamu Idris Elba atangaza kuambukizwa virusi vya Korona.

Kupitia mitandao ya kijamii- muigizaji maarufu raia wa Uingereza Idris Elba ametangaza kuwa ameambukizwa virusi vya Korona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je maambukizi ya mwisho ya virusi hivyo yatafanyika wapi?

Chini ya miezi mitatu iliyopita- virusi vya coronavirus vilikua ndani ya Uchina pekee. Hapakua na kisa hata kimoja kilichokua kimepatikana nje ya nchi hiyo ambako virusi hivyo vilianzia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 'wasiojua wana virusi’ wanavyochangia kuongezeka kwa maambukizi

Wanasayansi wamepata ushahidi wa kushangaza kuhusu jinsi virusi vya corona vinavyosambazwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yatangaza visa 28 zaidi vya maambukizi ya Covid-19

Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya imepanda hadi kufikia jumla ya watu 649 Jumamosi, baada ya kutangazwa kwa matokeo chanya vya virusi katika sampuli za watu 28 miongoni mwa waliopimwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani