Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunasubiri moshi mweupe urais 2015

>Hakika kama Watanzania wote tungekuwa waumini wa Kanisa Katoliki, tungesema tunasubiri ‘moshi mweupe’ kwa hamu ili kumjua Rais wa awamu ya tano atakayemrithi Jakaya Kikwete.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

10 years ago

Habarileo

Waridhia Moshi kuwa Jiji mwaka 2015

MKOA wa Kilimanjaro umepitisha rasmi azimio la kuiomba Serikali kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kuwa jiji ifikapo mwaka 2015.

 

10 years ago

Michuzi

Kilimanjaro Marathon 2015 kufanyika Machi 1,mjini Moshi

Mbio za 13 za Kilimanjaro Marathon ambazo zimepangwa kufanyika Machi 1, 2015 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro zimepata msisimko mpya baada ya wanariadha nyota wa Tanzania kuthibitisha kushiriki.
Mkurugenzi wa Mbio hizo John Bayo jana katika taarifa yake kwa vyombo vya habari aliwataja baadhi ya wanariadha nyota kutoka Tanzania kuwa ni Andrew Sambu, Daudi Joseph, Mashaka Masumbuko, watachuana na wanariadha wengine kutoka nchini na kutoka nje ya nchi katika mbio za Kilimanjaro Premium Lager...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa CCM mjini Moshi, Jumamosi 18 April 2015

Wanachama wa CCM na viongozi wao mjini Moshi walifanya mkutano wa hadhara katika maeneo ya Pasua,Moshi mjini siku ya jumamosi 18 April 2015,katika mkutano huo ulioudhuriwa na mamia ya watu uliweza kuvuta hisia za wengi na katika waliovutika ni pamoja na wanachama 24 wa CHADEMA ambao walirudisha kadi za Chadema na kujiunga na CCM.Jimbo la mjini Moshi limekuwa gumozo la kiasa kabla ya uchaguzi mkuu kutoaka na baadhi ya wananchi na vikundi mbali mbali vya kijamii kujitokeza kwa kumshawishi...

 

9 years ago

Vijimambo

MSHINDI WA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo
 Wakiendelea kumpongeza Wakitoa Mkono wa pongezi kwa mshindi wakati akipita kuelekea nyumbani kwao Akipongezwa na wadau wake Kwa hisia huku...

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI WA MOSHI MJINI WAMSHAWISHI KIJANA DAUD MRINDOKO KUGOMBEA UBUNGE 2015

Kijana Daud Mrindoko anayeshawishiwa Moshi mjini agombee ubunge.Mamia ya wakazi wa Moshi mjini wamefunguka na kumshinikiza kwa kumshawishi kijana moja ajulukanae kwa jina la Daudi Mwidadi Mrindoko achukue fomu za kugombe ubunge wa jimbo hilo la Moshi mjini,mamia na kinamama na kina baba,vijana na wazee wa mji wa Moshi wanamtaja kijana Daudi Mrindoko kuwa ndio tochi na dira ya itakayo waonyesha njia ya mafanikio zaidi 2015 alisemamama moja Merry Kimaro kutoka kundi la wafanyibiashara...

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA TMT 2015 MPAKA KIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi. Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo.
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.



 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA SULUHU ALITEKA JIMBO LA MOSHI MJINI LEO AGOSTI 25, 2015

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa kampeni aliofanya kwenye Viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro, leo Agosti 25, 2015. (Picha na Bashir Nkoromo).Wananachi wakimpongeza mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya CCM Majengo jimbo la Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro leo, Agosti 25, 2015Sehemu ya wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani