TUZO ZA MTV MAMA KUFANYIKA LEO, DURBAN AFRIKA KUSINI
![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi3MIHYmP0iOIeT8RMl18MgRxV3MpXO7PVpe3cUgMeaEsc1H22Ly*1Bjh6nsuZed1*SPi1nYAJk0UCyXAu7ZfU87/billboard_MAMA_980x368.jpg?width=650)
Mwigizaji maarufu nchini Marekani ambaye pia ni mchekeshaji, mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu, Marlon Wayans anatarajiwa kuwa msanii mkubwa atakayeongoza jukwaa katika hafla ya ugawaji wa Tuzo za MTV Africa Music Award 2014 zikatakazo tolewa leo jijini Durban Kwazulu - Natal nchini Afrika Kusini. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tZM8_9kn4ck/U1McRJmJNDI/AAAAAAAFb5M/QoZ0wCzGO-Q/s72-c/378eaafc3187af1a497d39cbe8530651.jpg)
11 years ago
GPLMPIGIE KURA MSANII DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA MTV MAMA
11 years ago
CloudsFM09 Jun
KAULI DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUTOPATA TUZO YA MAMA INAYOTOLEWA NA MTV BASE
Juzi Jumamosi ndiyo ilikua kilele na siku ya kutoa tuzo kwa washidi katika tuzo za MAMA zinazotolewa na MTV BASE , zoezi hili lilifanyika huko Africa ya kusini, pia mtanzania mwenzetu alipata fulsa ya kushiriki Tuzo hizo, Diamond platnumz kwa bahati mbaya ameshindikana kunyakua Tuzo hiyo.
Ni hatua tua nzuri kwa muziki wa tanzania japo hajachukua lakani tayari ameonekana na kazi zake zimeonekana tumbe mungu wakati mwingine ije kwetu na nasi tutoe sapoti za kutosha kwa wasanii wetu ili kuipa...
11 years ago
GPL![](http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2014/06/4X7A0015.jpg?resize=618%2C412)