Uandikishaji Wanachama 'Tanzania Bloggers Network' (TBN) waendelea
![](http://2.bp.blogspot.com/-OZZD9IEsMfU/VVrrwrZDqOI/AAAAAAAHYLw/pE9-tXj3KHY/s72-c/unnamed%2B(1).png)
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kilichosajiliwa rasmi na Serikali Aprili 2015 na kupewa namba ya usajili; S. A 20008 kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze...
Michuzi