Ubungo Plaza yashikilia magari 30 ya Hoteli ya Blue Pearl
Dar es Salaam. Uongozi wa jengo la Ubungo Plaza Limited umesema unashikilia magari 30 yanayomilikiwa na Blue Pearl baada ya uongozi wa hoteli hiyo kushindwa kulipa kodi ya pango ya takriban Dola 400,000 za Marekani (sawa na Sh672 milioni).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-X2DNaxarANM/VFUHYeseI1I/AAAAAAAGun0/dCwZg7UqNpw/s72-c/images.jpg)
MDAHALO WA KUJADILI UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA UTAKAOFANYIKA KWENYE HOTELI YA BLUE PEARL, UBUNGO PLAZA DAR ES SALAAM JUMAPILI TAREHE 2 NOVEMBA 2014 KUANZIA SAA 9.00 MCHANA MPAKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-X2DNaxarANM/VFUHYeseI1I/AAAAAAAGun0/dCwZg7UqNpw/s1600/images.jpg)
Lengo ni kutoa fursa kwa washiriki wa mdahalo na wananchi kwa ujumla kujielimisha kuhusu...
10 years ago
GPLCHADEMA KUFANYA KONGAMANO LA WAZEE HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO, DAR LEO
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
CHADEMA yaandaa kongamano la wazee, kufanyika kesho Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Jijini Dar
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika kesho ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
10 years ago
MichuziCHADEMA YAANDAA KONGAMANO LA WAZEE, KUFANYIKA KESHO HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Hoteli ya Blue Pearl yafungwa kwa deni
10 years ago
CloudsFM25 Sep
HOTELI YA BLUE PEARL YAFUNGWA KWA KUDAIWA MADENI
Hoteli ya Blue Pearl ya jijini,Dar imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya mmiliki wake kushindwa kulipa kodi ya pango ya Dola za Marekani 3,800,000 sawa na Sh6 bilioni ambazo alilimbikiza kwa miaka mingi. Jana mchana wafanyakazi wa Kampuni ya Udalali ya Majembe walifika hotelini hapo na kuanza kutoa nje samani zilizokuwa ndani ya hoteli na kuzipakia kwenye lori lililokuwa limepaki nje ya lango kuu la kuingilia. Hali hiyo ilisababisha kusitishwa kwa huduma zilizokuwa zikitolewa na wateja...
10 years ago
VijimamboUFUNGUZI WA WARSHA YA WADAU KUHUSU “HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NA UAINISHAJI WA MAHITAJI YA WADAU”, HOTELI YA BLUE PEARL, DAR ES SALAAM, TANZANIA, TAREHE 24 MACHI, 2015
10 years ago
TheCitizen26 Sep
Blue Pearl hotel closed
10 years ago
TheCitizen05 Nov
TAGALILE: Why the ruling party must denounce Ubungo Plaza chaos