Uchaguzi TZ:Matukio mbali mbali yanavyojiri
Kufuatia kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi kisiwani Zanzibar kutokana na kile mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi kisiwani humo amekitaja kuwa ukiukwaji wa sheria hisia mbali mbali zinazidi kutolewa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Mar
MATUKIO MBALI MBALI KUELEKEA US-AFRICA LEADERS SUMMIT AGOSTI 5-6 WASHINGTON DC
Pichani Mhe. John Haule akisalimiana na Balozi Teitelbaum katika Wizara ya Nje ya Marekani. Kulia ni Mhe.Liberata Mulamula,Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
Mhe. John Haule(katikati) katika picha ya pamoja na Mhe.Balozi Donald Teitelbaum(kushoto) na Mhe.Balozi Mulamula (kulia)
Mhe. Balozi Liberata Mulamula baada ya kumaliza mazungumzo yake na Bw. Michael Morrow, Mkurugezi wa Idara ya Afrika Mashariki baada ya mazungumzo yao katika Wizara ya nje Marekani.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula...
11 years ago
MichuziMATUKIO MBALI MBALI YA IBADA YA IJUMAA KUU LEO
Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Usharika wa Azania Front, Moses Kombe, (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya Kuwambwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika kanisa hilo Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa akiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la KKKT la Azania Front Dar es Salaam.
Waumini wa Kanisa la Kiinjili Tanzania KKT, la Azania Front la Dar es Salaam wakiwa...
9 years ago
MichuziMATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUPITIA CHADEMA KATIKA JIMBO LA HAI, MKOANI KILIMANJARO
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mpira wa Machame, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa...
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Uchaguzi2015:Matukio mbali mbali TZ
Huku matokeo ya uchaguzi nchini Tanzania yakiendelea kutangazwa BBC inaendelea kukupatia habari tofauti kuhusu matukio ya uchaguzi nchini humo.
11 years ago
MichuziWAJUMBE WA KAMATI MBALI MBALI ZA BUNGE WAENDELEA NA VIKAO MJINI DODOMA
Mjumbe wa Kamati namba kumi na mbili ya Bunge Maalum la Katiba Goodluck Ole - Medeye akichangia jana mjini Dodoma wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta alipoitembelea Kamati hiyo kujionea kazi inayoendelea ya uchambuzi wa sura ya kwanza na Sita katika Rasimu ya Katiba mpya.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba, DKT Sira Ubwa Mamboya(kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta(kulia) alipoitembelea Kamati...
10 years ago
Michuzitaarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni na simu tv
Kwa taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni BOFYA HAPA
10 years ago
MichuziTaswira mbali mbali za Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Vito ya Arusha (AGF)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava, (wa tatu kutoka kushoto) akizindua Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Vito ya Arusha yaliyofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 19 hadi 20 Novemba 2014. Wanaoshuhudia uzinduzi huo ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja (kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA) Sammy Mollel (kulia). Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava, (kushoto) akihutubia wadau...
10 years ago
MichuziJESHI LA MAGEREZA LATOA UFAFANUZI JUU YA TUHUMA MBALI MBALI LINAZOTUPIWA
Hivi karibuni kumekuwa na tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii kuhusiana na kunyanyaswa, kutendewa vitendo visivyo vya kiungwana na kuteswa gerezani kwa Watuhumiwa wa Makosa ya Ugaidi kinyume na taratibu za Uendeshaji wa Magereza.
Kufuatia tuhuma hizo, Jeshi la Magereza Tanzania Bara limefanya uchunguzi kwa kufanya mazungumzo na Watuhumiwa wenyewe na wamekanusha tuhuma hizo dhidi ya Jeshi la Magereza. Ukweli ni kuwa taarifa hizo...
Kufuatia tuhuma hizo, Jeshi la Magereza Tanzania Bara limefanya uchunguzi kwa kufanya mazungumzo na Watuhumiwa wenyewe na wamekanusha tuhuma hizo dhidi ya Jeshi la Magereza. Ukweli ni kuwa taarifa hizo...
10 years ago
GPLTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania