Uchumi wa Ugiriki bado matatani Ulaya
Ugiriki bado inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi baada ya kushindwa kutekeleza masharti na kupata mikopo zaidi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Uchumi wa Ugiriki bado ni kitendawili
Mawaziri wa fedha wa kanda wa umoja wa ulaya walioko mjini Brussels nchini Ubelgiji,wamehitimisha mkutano wao bila suluhu.
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Ugiriki yapendekeza mageuzi ya uchumi
Mipango hiyo ni pamoja na kupandisha kodi na mageuzi kwa malipo ya uzeeni ni kwa matumaini ya kupata mkopo mpya kukwepa kufilisika
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ugiriki yaomba miaka 2 kunusuru uchumi
Ugiriki imeomba makubaliano mapya na nchi za Ulaya zinazotumia sarafu ya euro ili kunusuru uchumi wake
10 years ago
BBCSwahili27 Jun
Uchumi mbaya wazua wasiwasi Ugiriki
Watu nchini Ugiriki wameanza kupanga milolongo nje ya mabenki wakihofia kuwa watawekewa masharti ya kutoa pesa
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Ugiriki iko tayari kunusuru uchumi wake
Serikali ya Ugiriki imeleezea imani yake kwamba mkataba kuhusu madeni yake, utafikiwa ndani ya saa arobaini na nane,
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Ulaya na Ugiriki zimetofautiana zaidi
EU yaonya kuwa tofauti iliopo kati ya Ugiriki na wakopeshaji wake wa kimataifa inazidi kuongezeka.
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Ulaya kuridhia kuinusuru Ugiriki?
Ugiriki imeomba kupatiwa muda zaidi kudhaminiwa ili kujinusuru kuwa Mufilis
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Uchumi wa Urusi Matatani-IMF
IMF yasema kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Urusikimeshuka sana kufuatia vikwazo vya Marekani na muungano wa Ulaya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania