Ugaidi: Wakimbizi Syria wabanwa
Kitengo cha misaada cha umoja wa mataifa kimetoa onyo juu ya suala la wakimbizi kutoka Syria kwamba hawapaswi kupewa uhuru mkubwa kufuatia shambulio la mjini Paris
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Erdogan: EU haijatoa msaada wowote kuhakikisha wakimbizi wa Syria wanaishi ''maeneo salama'' nchini Syria.
Rais Erdogan amesema hawezi kuwazuia wahamiaji kuingia Ugiriki.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
UN;yawatetea wakimbizi wa Syria.
Umoja wa mataifa umetoa wito kwa serikali ya Jordan kuwaruhusu wakimbizi wanaokadiriwa kufikia elfu kumi na mbili wa Syria ..
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Wakimbizi wa Syria wanahangaika sana
Shirika la UNHCR linaloungwa mkono na mashirika zaidi ya 30 ya kibinaadamu, limeyaomba mataifa yote duninai kuwakubali wakimbizi zaidi walioathirika na vita vya kiraia nchini mwao.
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Syria yawanyima chakula wakimbizi
Serikali ya Syria inadaiwa kutumia mbinu zisizofaa kuwanyima chakula, raia, wasio na hatia kama silaha katika vita vinavyoendelea .
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
IS yadhibiti kambi ya wakimbizi Syria
Wapiganaji wa kundi la Islamic State nchini Syria wameingia na kuchukua udhibiti wa kambi kubwa ya wakimbizi wa Palestina
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Wakimbizi wa Syria wamezidi milioni 4
Umoja wa mataifa umetaka nchi zote za Ulaya kuwajibika zaidi kwa mzozo wa kibinaadamu wa wakimbizi wa Syria
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wakimbizi wa Syria wawasili Canada
Ndege ya kwanza ya kijeshi iliyowabeba wakimbizi kutoka Syria ambao wamepewa hifadhi nchini Canada imetua katika mji mkuu Toronto
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
Wakimbizi wa Syria, mzigo kwa Lebanon
Idadi ya wakimbizi waliotoroka Syria na kukimbilia Lebanon imeongezeka na kufika watu milioni moja. Lebanon inasema huu ni mzigo mkubwa
9 years ago
Vijimambo16 Sep
Kwa nini nchi za Kiarabu haziwachukui wakimbizi wa Syria
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/08/27/150827173511_syria_refugees_640x360_reuters_nocredit.jpg)
Picha za wakimbizi wa Syria waliokwama katika mipaka na vile vile katika vituo vya treni bila kutaja picha ya mvulana mdogo wa miaka mitatu Alan Kurdi aliyekuwa amesombwa na maji katika ufukwe wa bahari wa Uturuki zimezua hisia kwa juhudi zaidi kuchukuliwa ili kuwasaidia wale wanaotoroka vita.
Hasira zaidi zimelenga mataifa ya uarabuni kama vile Saudi Arabia,Bahrain,Kuwait,Qatar,Oman na UAE ambao wamefunga milango yao kwa wakimbizi hao.
Kufuatia ukosoaji huo,ni muhimu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania