Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN na miaka 20 ya mauaji ya Bosnia.

Mipango ya upigiaji kura wa rasimu ya maoni ya Umoja wa Mataifa kuadhimisha miaka ishirini tangu kutokea kwa mauaji ya halaiki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria 1-0 Bosnia baada ya miaka 16

Ushindi wa kwanza katika miaka 16 umefufua kampeini ya Nigeria katika kombe la dunia

 

11 years ago

BBCSwahili

Miaka 20 ya mauaji ya kimbari Rwanda

Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari

Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari. Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari

Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari. Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akipata maelezo juu ya mwenendo wa mashauri toka ICTR mara baada ya kuwasili kwenye Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa pichani....

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA MIAKA 21 YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI‏

Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari. Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini...

 

5 years ago

Michuzi

DEREK CHAUVIN-MIAKA 18 YA KAZI, MALALAMIKO 18 NA DAKIKA 8 ZA MAUAJI


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
DEREK Chauvin ofisa wa polisi nchini Marekani amefahamika zaidi tangu Mei 25 mwaka huu na hiyo ni  baada ya kutekeleza mauaji ya mmarekani mweusi George Floyd hadharani kwa kumkandamiza shingo kwa takribani dakika nane hadi umauti ulipomkuta.
Derek Chauvin alizaliwa Machi 19, 1976 huko Fayetteville na alihamia  Minneapolis, Minnesota mwaka 2014 na alianza kufanya kazi akiwa ofisa wa polisi katika idara ya polisi Minneapolis mwaka 2001.
Kabla ya kufanya...

 

11 years ago

Mwananchi

MAUAJI: Watoto wadaiwa kumnyonga mwenzao wa miaka mitatu

>Wakazi wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto Omary Hamis mwenye umri wa mitatu, kisha mwili wake kutundikwa juu ya mti.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya Rwanda: Jinsi Felicien Kabuga alivyojificha kwa miaka 26

Kabuga mwenye miaka 84 amekuwa mafichoni kwa muda mrefu hali ya kwamba jopo la kimataifa lililobuniwa kuchunguza mauaji hayo ya 1994 liliacha kufanya kazi yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani