UNODC yakabidhi vifaa vya maabara kwa Jeshi la Magereza
Afisa Mipango wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Immaculata Nyoni akizungumza jambo kabla ya kukabidhi vifaa vya maabara kwa Jeshi la Magereza nchini.
Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya maabara kwa Magereza Tanzania.
Afisa Mipango wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Immaculata Nyoni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziUNODC YAKABIDHI VIFAA VYA MAABARA JESHI LA MAGEREZA
Afisa Mipango wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Immaculata Nyoni akizungumza jambo kabla ya kukabidhi vifaa vya maabara kwa Jeshi la Magereza nchini.

10 years ago
MichuziTWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboTWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziCRDB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VIONGOZI WA DINI
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB, imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Kamati ya Amani na ushirikiano ikiwa ni maandalizi ya mechi baina ya viongozi wa madhehebu ya dini.
Mtanange wa viongozi hao unatarajiwa kufanyika Oktoba 12, mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuadhimisha siku ya amani duniani.
Akizungumza wakati wa kukabidhi jezi na hundi ya sh. milioni tano ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya wateja, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,...

MichuziNMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA POLISI
Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...
10 years ago
MichuziZANTEL YAKABIDHI VIFAA VYA USAFI KWA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA
10 years ago
Michuzi
TIPER YASAIDIA VIFAA VYA MAABARA VYENYE THAMANI YA SH. ML 20/- KWA SEKONDARI WILAYANI RUFIJI
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini, TIPER Bw. Daniel Belair (Kulia) akikabidhi msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani y ash. Mil 20 kwa Afisa Mtendaji wa kata ya Bungu, wilayani Rufiji, Bw. Alli Mwamboka wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa hivyo iliyofanyika mwishoni mwa juma kwenye viwanja vya shule hiyo iliyopo wilayani Rufiji, mkoani Pwani. Msaada huo ni mwendelezo wa jitihada za kampuni hiyo katika kuisaidia jamii.
Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini,...
Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini,...
10 years ago
Michuzi
DCB yatoa msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi

11 years ago
GPL
VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 14 ZA LIGI KUU KWA AJILI YA MSIMU WA 2014/2015
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom. kushoto ni Meneja biashara wa TFF Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga.Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh 430 Milioni. Kutoka kushoto:… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania