Uongozi na wachezaji wa Timu ya Soka ya African Coast wamuomba radhi Balozi Seif Ali Idd
![](http://2.bp.blogspot.com/-K-nUa0MYw0I/U94EIoGnxDI/AAAAAAAF8lE/kxUlTTV_nr4/s72-c/unnamed+(15).jpg)
Uongozi na wachezaji wa Timu ya Soka ya African Coast ya Kijiji cha Upenja umemuomba radhi Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi kufuatia uamuzi wa Timu hiyo kuruhusu kufanyika kwa Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Upinzani uliozaa kashfa na matusi dhidi ya mbunge huyo.
Wachezaji hao waliomba radhi hiyo Mbele ya Mbunge huyo hapo katika Ukumbi wa Tawi la CCM la Kijiji cha Upenja kilichomo ndani ya Jimbo la Kitope Wilaya ya Kaskazini “B “ mkutano uliohudhuriwa pia na Wazee na baadhi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Mar
Balozi Seif Idd apania kukuza michezo jimboni, akabidhi vifaa kwa timu 60 za soka
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Seti za Jezi na Mipira Mmoja wa Viongozi wa timu 60 zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope hapo Kijiji cha Kipandoni Upenja Wilaya ya Kaskazini “B”. Kati kati yao ni Mke wa Balozi Seif Mama Asha Suleiman Iddi.
Kocha na Kepteni wa Timu ya Soka ya Kipandoni Star Jeilan Omar Jeilan akipokea mchango wa shilingi 500,000/- kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya kununulia Posi na Nyafu kwa ajili ya Kwinja chao...
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Makundi, Majungu, Fitina ni sumu kwa Uongozi wa CCM Zanzibar — Asema Balozi Ali Seif Idd
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Jimbo la Mgogoni katika Tawi la CCM Magogoni akiiongoza Timu ya Wajumbe wa Barza la Wawakilishi kupitia CCM ya kuimarisha nguvu za CCM katika Mikoa mbali mbali ya Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Magogoni wakifuatilia hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif hayupo pichani aliyoitoa wakati wa ziara yake na Wawakilishi wa CCM ndani ya Jimbo hilo.(Picha na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-awbFc4vtGoM/U_TJXzs2JWI/AAAAAAAGA8g/ZQX7xu2_-oo/s72-c/unnamed%2B(36).jpg)
Balozi Seif Ali Idd akutana na Uongozi wa Jumuiya Watanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA }
Rais wa KOIKA aliyekuwa kinara wa Ujumbe wa Viongozi Wanne wa Jumuiya hiyo Ndugu Steven Katemba alieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Nd. Steven...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9pUwDvuXLIo/U8vFYX6DDgI/AAAAAAAF4EI/zDD0NX3C4KM/s72-c/540.jpg)
BALOZI SEIF ALI IDD AKUTANA NA WANA CCM WA NUNGWI
Alisema Wanasiasa wasifikirie kwamba anapokwenda majimboni hasa katika maeneo yanayoongozwa na Upinzani wakadhani ya kuwa anakwenda kuvuruga siasa za vyama vyengine vya upinzani.
Balozi Seif alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xt6Fbq0kJ6o/U_79DseBnvI/AAAAAAAGJ8Y/kG-i0b4YYL0/s72-c/883.jpg)
Balozi Seif Ali Idd akutana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Tigo
Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo yenye Makao Makuu yake Mjini Stokholmes Nchini Sweeden Bwana Arthur Basting alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_UkrAR7fxW0/XvbJYXjtkuI/AAAAAAALvog/jE8okzxzsGwaDXKAf0JSMkSsel_tDTOzACLcBGAsYHQ/s72-c/3.jpg)
MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDD AONYA WATOA RUSHWA
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Barozi Seif Ali Idd amewaonya baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi wanaotaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia chama hicho kujiepusha na matumizi ya fedha katika kutafuta nafasi za uongozi kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Chama hicho.
Aidha Barozi Seif Ali Idd ameonya kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia ya kugombea uongozi lakini badala ya kwenda wenyewe wanatuma watu wengine kutoa rushwa kwa niaba...
11 years ago
Dewji Blog13 May
Magari zaidi ya tani mbili yazuiwe Mji Mkongwe — Balozi Ali Seif Idd
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijumuika pamoja na baadhi ya wananchi kuangalia athari iliyojichomoza kwenye nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim baada ya ukuta na dari yake kuanguka saa sita usiku juzi mkabala na Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.
Sehemu ya mbele ya Nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim iliyoporomoka Mtaa wa Vuga mkabala na Skuli ya Sekondari ya Tumekuja.Hata hivyo hakuna mtu aliyejeruhiwa kutokana na athari hiyo.
Athari ya...
10 years ago
Vijimambo22 Jan
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd ahudhuria sherehe za miaka 50 ya CBE
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/Picha-na-1..jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/Picha-na-21.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd ahudhuria sherehe za miaka 50 ya CBE leo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akipata maelezo kutoka kwa Bi. Esther Kibua, mwanafunzi wa mwaka wa 3 wa chuo cha Elimu ya Biashara CBE...