Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urusi kuiondolea Iran vikwazo vya silaha

Marekani imepinga hatua ya Urusi ya kutaka kuiondolea vikwazo vya silaha Iran kwa kuipatia mfumo wa kudhibiti makombora

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yaiuzia Iran silaha kali ya ulinzi wa angani

Urusi imeiuzia Iran, silaha kali ya ulinzi dhidi ya ndege za kivita na makombora.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yazuia vikwazo vya UN Sudan Kusini

Urusi na Angola imezuia UN kuwekea vikwazo Paul Malong na Johnson Olony kwa mchango wao katika mapigano nchini Sudan Kusini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi imeiwekea Uturuki vikwazo vya kiuchumi

Urusi imetangaza vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Uturuki kutokana na kudunguliwa kwa ndege yake mnamo Jumanne.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yawekewa vikwazo

Canada imetangaza vikwazo dhidi ya Urusi kwa kile kinachodaiwa kupinga mashambulizi dhidi ya Ukraine.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Iran kuondolewa

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amesema huenda vikwazo dhidi ya Iran vikaanza kuondolewa mapema mwaka ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Urusi vitadumu

Viongozi wa kundi la mataifa yaliyostawi zaidi kiviwanda duniani G7, yamekata kauli kudumisha vikwazo walivyoiwekea Urusi

 

10 years ago

BBCSwahili

G7 yatishia kuiongezea Urusi vikwazo

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema mataifa ya G7 yalikuwa tayari kuzidishia Urusi vikwazo zaidi, iwapo haitaheshimu makubaliano ya Ukraine

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi kuwekewa vikwazo zaidi

Urusi kuwekewa vikwazo kufuatia kuhusishwa na mashambulizi Mashariki mwa Ukraine

 

11 years ago

BBCSwahili

G7 kuiwekea Urusi vikwazo zaidi

Viongozi wa nchi zenye uwezo mkubwa duniani G7 wamekubaliana kuiwekea vikwazo zaidi Urusi kwa kuchochea ghasia Ukraine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani