Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA MWANAMKE DUNIANI LEO NDANI YA SAFARI CARNIVAL MIKOCHENI

Gusa Gusa Band, Sabaha Muchacho, Afua Suleiman  na Shakila kutoa burudaniNa Mwandishi WetuAsia Idarous Khamsin (Fabak Fashions) inakuletea Usiku wa Mwanamke Duniani (Woman Celebration), utakaofanyika Jumapili ya Machi 8  ndani ya ukumbi wa Safari Carnival uliopo Mikocheni B, Jijini Dar es Salaam.Mtendaji Mkuu wa Fabak Fashins, Asia Idarous Khamsin aliwaomba Wanawake kujitokeza kwa wingi usiku huo maalum kwani ni usiku wao na utakuwa na mambo mbalimbali ikiwemo burudani ya taarab kutoka kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Usiku wa mwanamke duniani Machi 8, ndani ya Safari Carnival Mikocheni

64253_926582500709347_2528256184450671404_n (1)

*Gusa Gusa Band, Sabaha Muchacho, Afua Suleiman  na Shakila kutoa burudani

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Asia Idarous Khamsin (Fabak Fashions) inakuletea Usiku wa Mwanamke Duniani (Woman Celebration), utakaofanyika Jumapili ya Machi 8  ndani ya ukumbi wa Safari Carnival uliopo Mikocheni B, Jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin aliwaomba Wanawake kujitokeza kwa wingi usiku huo maalum kwani ni usiku wao na utakuwa na mambo mbalimbali ikiwemo burudani...

 

10 years ago

Vijimambo

USIKU WA MWANAMKE DUNIANI MACHI 8 NDANI YA SAFARI CARNIVAL MIKOCHENI B

Gusa Gusa Band, Sabaha Muchacho, Afua Suleiman na Shakila kutoa burudani
Na Mwandishi Wetu

Asia Idarous Khamsin (Fabak Fashions) inakuletea Usiku wa Mwanamke Duniani (Woman Celebration), utakaofanyika Jumapili ya Machi 8 ndani ya ukumbi wa Safari Carnival uliopo Mikocheni B, Jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Fabak Fashins, Asia Idarous Khamsin aliwaomba Wanawake kujitokeza kwa wingi usiku huo maalum kwani ni usiku wao na utakuwa na mambo mbalimbali ikiwemo burudani ya taarab kutoka kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Gusa Gusa Min band ndani ya Usiku wa Old is Gold Safari Carnival Jumapili ya leo

logo

.. Njoo tufurahie pamoja kusherekea siku ya Mama Duniani (Mother’s Day)

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Bendi  ya taarab ya ‘Gusa Gusa Min Band,’  itatoa burudani ya aina yake  Jumapili  ya Machi 15 katika usiku wa Old is Gold Taarab pamoja na kusherehekea siku ya Mama Duniani  (Mother’s Day) ndani ya ukumbi wa Safari Carnival,  uliopo Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, alibainisha kuwa, bendi hiyo ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usiku wa Old is Gold Taarab kila Jumapili ndani ya Safari Carnival

Na Andrew Chale

USIKU wa Old is Gold taarab  unatarajiwa kurindima ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, kwa wadau kupata burudani ya muziki wa mwambao wa kizamani.

Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin  alieleza kuwa  ni kila Jumapili  ndani ya ukumbi huo utakuwa na burudani ya kipekee kwa nyimbo za mwambao pamoja na ‘surprise’ mbalimbali kwa watakaofika hapo.

“Kila jumapili  kwa kiingilio cha sh 5,000 tu. Wapenzi wa muziki wa...

 

10 years ago

Michuzi

Usiku wa Old is Gold taarab kila Jumapili ndani ya Safari Carnival, Kawe.Dar es salaam

Na Andrew ChaleUSIKU wa Old is Gold taarab  unatarajiwa kurindima ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, kwa wadau kupata burudani ya muziki wa mwambao wa kizamani.Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin alieleza kuwa  ni kila Jumapili  ndani ya ukumbi huo utakuwa na burudani ya kipekee kwa nyimbo za mwambao pamoja na ‘surprise’ mbalimbali kwa watakaofika hapo.“Kila jumapili  kwa kiingilio cha sh 5,000 tu. Wapenzi wa muziki wa...

 

10 years ago

Michuzi

Gusa Gusa Min band ndani ya Usiku wa Old is Gold Safari Carnival kila Jumapili


Na Andrew ChaleBendi ya taarab ya 'Gusa Gusa Min Band,'  inatarajiwa kurindima kila Jumapili katika usiku wa Old is Gold Taarab ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, kila Jumapili bendi hiyo ya Gusa Gusa itakuwa ikitoa burudani ya kipekee kwa  nyimbo za taarab zikiwemo za zamani na zile za kisasa."Kila jumapili  kwa kiingilio cha sh 5,000 tu. Wapenzi wa muziki wa mwambao ...

 

10 years ago

Vijimambo

Gusa Gusa Min band ndani ya Usiku wa Old is Gold Safari Carnival Jumapili hii

NA ANDREW CHALE
BENDI ya taarab ya 'Gusa Gusa Min Band,' inatarajiwa kurindima tena Jumapili hii katika usiku wa Old is Gold Taarab , ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, uliopo Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, kila Jumapili bendi hiyo ya Gusa Gusa imekuwa ikitoa burudani ya kipekee kwa nyimbo za taarab zikiwemo za zamani na zile za kisasa huku ikikusanya mashabiki lukuki.

Aidha, alisema muimbaji...

 

10 years ago

Michuzi

ASIA IDAROUS KHAMSIN ANAKULETEA RED CARPET NA USIKU WA KHANGA PARTY LEO SAFARI CARNIVAL


Na Andrew Chale
USIKU maalum wa kuenzi vazi la Khanga na magwiji wa taarab nchini 'Usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab' unapotarajia kulindima usiku wa leo Novemba 29 ndani ya Ukumbi wa Safari Carnival, Mikocheni B, karibu na daraja la Kawe, na kusindikizwa na gwiji wa mipasho Khadija Kopa pamoja na Bilal Mashauzi. Kwa mujibu wa Mama wa Mitindo Bi. Asia Idarous Khamsin amebainisha kuwa kwa ushirikiano wa Fabak Fashions na Safari Carnival wameandaa usiku huo maalum kuenzi vazi la...

 

11 years ago

Michuzi

OLD IS GOLD NA SPICE MODERN TAARAB KUFUNIKA NDANI YA SAFARI CARNIVAL LEO

WAPENZI wa nyimbo za zamani za taarabu asilia nchini, leo wanatarajiwa kupata burudani safi na ya aina yake  kutoka kundi la Spice Modern Taarab,  ndani ya ukumbi wa  Safari Carnival uliopo Kawe, (opposite) na Clouds fm katika gate la kuingilia Escape 1.
Kwa kiingilio cha sh 5000 tu, kuanzia saa mbili usiku mpaka majogoo.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, ambao ni miongoni mwa wadhamini wa onyesho hilo, amewasihi wadau kujitokeza kwa wingi kuuenzi usiku huo kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani