Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti:Wanawake msichelewe kuzaa

Wanawake wanaochelewa kuzaa wanakabiliwa na tisho la kupata matatizo chungu nzima ya afya ya uzazi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti: Wanawake wavutaji sigara huacha kuzaa mapema

Wanawake wanaovuta sigara au kukaa na wavutaji sigara wamo katika hatari ya kukatisha uzazi wao mapema, utafiti mpya unaonyesha.

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Asilimia 15 ya wanawake hukeketwa

>Jana dunia iliadhimisha Siku ya Kutokomeza Ukeketaji. Lengo hasa la uwepo wa siku hiyo ambayo kwa kawaida huadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 6, ni kutafakari njia zaidi ya kupambana na changamoto za ukeketaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hospitali yadhalilisha wanawake — Utafiti

WANAWAKE wajawazito wa Kata ya Mabibo, Dar es Salaam, wanaokwenda kujifungua kwenye hospitali ya Sinza- Palestina, wanatakiwa kwenda na ndoo kwa ajili ya kuweka kondo la uzazi baada ya kujifungua,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Wanawake huwa na mpango m'badala

Nusu ya wanawake huwa na mpango mbadala ama wa kando ambao wanaweza kukimbilia iwapo uhusiano wao utaharibika.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake wahoji suala la jinsia , utafiti wa Twaweza

Wakati wasomi na wanasiasa wakiendelea kuchambua matokeo ya utafiti wa Twaweza, baadhi ya wanawake wameukosoa kwamba haukuzingatia jinsia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa

Utafiti unaonesha kuwa ni kweli wanaume wanapendelea wanawake wenye makalio makubwa

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WANAWAKE WANAFANYA KAZI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU-UTAFITI

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Irina Bokova, ( kati kati) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu Teknolojia ya habari na mawasiliano na mchango wa vyombo huru vya habari katika kuwawezesha wanawake na watoto wa kike, katika majadiliano hayo, wazungumzaji waliokaa meza kuu ambao ni kutoka kushoto, Bi. Elisa Munoz, Mkurugenzi Mtendaji wa IWMF, Muwakilishi wa Kudumu wa Austria Balozi Martin Sjdik, Bw. Peter Launsky-Tieffenthal Katibu Mkuu Msaidizi na mkuu wa Idara ya ...

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA&UTAFITI: Wanawake wanapolaumiwa kwa kuwatesa wanaume

Imezoeleka kusikia kwamba wanawake ndio wanaonyanyaswa; sasa taarifa mpya ni kwamba idadi ya wanaume wanaonyanyaswa na wanawake nchini inaongezeka.

 

10 years ago

Mwananchi

UTAFITI : Ebola inaenea haraka zaidi kwa wanawake kuliko wanaume

Ingawa binadamu wote ni sawa, lakini ni jambo la kushangaza kuona kuwa wakati wa mlipuko wa ugonjwa fulani, jinsi moja inaathirika zaidi kuliko nyingine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani