UTAMBULISHO WA video mpya ya 'Shaghala Baghala' kutoka kwa DarBongo Massive
![](http://1.bp.blogspot.com/-KdjmN0GYp-0/VlgbUtXoYtI/AAAAAAAIIlc/nR9-9cBoWPE/s72-c/1126f3e7-efb8-4b73-899e-0c4b2a6fd57b.png)
"Baada ya kuwasubirisha mashabiki wa muziki wa 'Dar Boma' na video ya 'Shaghala Baghala' iliyoanza kuchezwa kwenye TV Station za hapa Bongo mwanzoni mwa wiki hii, Leo 27, November 2015 Dar Bongo Massive tumeamua kuachia 'Shaghala Baghala' official online hivyo tunaomba suport yenu na asanteni sana".
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania