UTENDAJI KAZI WA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA SULEIMAN MZEE WAMKOSHA RAIS JOHN MAGUFULI
![](https://1.bp.blogspot.com/-HMxEGepLXxQ/XsaGheryzdI/AAAAAAALrIs/1qr5EL5M3foxwUwA74PQYAdMr9gP_hSdwCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot%2B2020-05-21%2Bat%2B16.27.24%2B%25281%2529.png)
Na Said Mwishehe, Michuzi TVUTENDAJI kazi unaofanywa na Kamishna Jenereli wa Magereza Suleiman Mzee (pichani) umemkosha sana Rais Dk. John Pombe Magufuli ambapo amesema anafanya kazi nzuri sana na wakati mwingine amekuwa akimuona ameshika koleo kwa ajili ya kuchimba mchanga akishirikiana na wafungwa.
Akizungumza leo Mei 21 mwaka huu, akiwa katika Ikulu ya Chamwino Mjini Dodoma, Rais Magufuli amesema kuwa alifanya mabadiliko ya Kamishna Jenerali wa Magereza na kwamba aliyeko sasa anafanya kazi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_fb0ohBDGvU/Xq_39J1iJVI/AAAAAAALpBo/lbkuGvYHPrIVQfhIzt-m35H_kaxA7A--ACLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1AA-768x529.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-_fb0ohBDGvU/Xq_39J1iJVI/AAAAAAALpBo/lbkuGvYHPrIVQfhIzt-m35H_kaxA7A--ACLcBGAsYHQ/s640/PIX-1AA-768x529.jpg)
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020 katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-2AA-1024x506.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NYcIVR1ixMo/XtVG6UiajBI/AAAAAAALsQw/vzjrAzFLlMoxntnCV2zLyqMeNUwkA9JSQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1-1-768x512.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA SULEIMAN MZEE AKABIDHI MALORI MATATU SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-NYcIVR1ixMo/XtVG6UiajBI/AAAAAAALsQw/vzjrAzFLlMoxntnCV2zLyqMeNUwkA9JSQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1-1-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PIX-2-1-1024x683.jpg)
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akijaribu kuliwasha moja ya lori kabla ya kukabidhi malori mapya matatu kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina(hayupo pichani) leo Juni 1, 2020 katika Viwanja...
9 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI ASISITIZA UTENDAJI KAZI WENYE TIJA
WATUMISHI wa Jeshi la Magereza wametakiwa kuzingatia utendaji kazi wenye tija mahala pa kazi na kuacha kufanya kazi kwa mazoea(Business as usual).
Rai hiyo imetolewa na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Casmir Minja wakati akizungumza kwenye Baraza la kufunga Mwaka 2015 na kuukaribisha Mwaka mpya 2016 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini, Dar es Salaam.
Jenerali Minja amewaagiza Watumishi wote wa Jeshi hilo kuhakikisha kuwa wanawajibika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-99HEHm0ZvM0/XtevPQgzmTI/AAAAAAALshk/5ELLomRu-SI5EU2yx-2uhE1OqLszJjSBwCLcBGAsYHQ/s72-c/fa1a6d32-476f-4aa3-931d-bc28043d47dd.jpg)
CGP SULEIMAN MZEE APANDISHWA CHEO NA RAIS MAGUFULI TOKA BREGEDIA JENERALI KUWA MEJA JENERALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-99HEHm0ZvM0/XtevPQgzmTI/AAAAAAALshk/5ELLomRu-SI5EU2yx-2uhE1OqLszJjSBwCLcBGAsYHQ/s640/fa1a6d32-476f-4aa3-931d-bc28043d47dd.jpg)
Meja Jenerali Suleiman Mzee ambaye pia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, akizungumza na Maafisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(hawapo pichani) mapema leo Juni 3, 2020 katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo Juni 3, 2020, jijini Dodoma. Meja Jenerali Mzee amepandishwa cheo hicho na Rais na...
9 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KUPITIA RASIMU YA MPANGO WA WA JESHI LA MAGEREZA KUJITOSHELEZA CHAKULA, JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-JQa3--bG2Ps/VQ1sP1PYsxI/AAAAAAADdAo/nGnHm_tw6Vk/s72-c/image.jpeg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AVISHA YEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ES SALAA
![](http://3.bp.blogspot.com/-JQa3--bG2Ps/VQ1sP1PYsxI/AAAAAAADdAo/nGnHm_tw6Vk/s1600/image.jpeg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-bTICbcczo5Y/VQ1sP47alSI/AAAAAAADdAk/IjUIFSCy7Uk/s1600/image_1.jpeg)
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR