UTT-AMIS YATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA MASUALA YA UWEKEZAJI
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza katika masuala ya uwekezaji kwani fursa hiyo wanayo kama ilivyo kwa baadhi ya watu kutoka nje. Hayo yalisemwa na Ofisa Habari Idara ya Masoko, Waziri Ramadhani, wakati wa maonesho ya kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.Alisema hivyo kutokana na baadhi ya watu hapa nchini kudhani kuwa ili mtu awe muwekezaji ni lazima atoke nje ya nchi wakati sio kweli. “Nawaomba Watanzania wenzangu watambue kuwa wao pia ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qNZXU3Z6ocs/VJLI1QOI3qI/AAAAAAABPug/mpBc5FSTRDM/s72-c/IMG-20141217-WA0007.jpg)
UTT-AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA MADAKTARI
![](http://4.bp.blogspot.com/-qNZXU3Z6ocs/VJLI1QOI3qI/AAAAAAABPug/mpBc5FSTRDM/s1600/IMG-20141217-WA0007.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-36X9F7MzQQo/VJLI2jrV6WI/AAAAAAABPuo/ZpHJtuSm_Zo/s1600/IMG-20141217-WA0008.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Df9ra-xT14w/VNcZyOeaEcI/AAAAAAABS64/KteEqLuwwkU/s72-c/IMG-20150207-WA0026.jpg)
UTT-AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YA FEDHA KWA WABUNGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-Df9ra-xT14w/VNcZyOeaEcI/AAAAAAABS64/KteEqLuwwkU/s1600/IMG-20150207-WA0026.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-K9KD8CdVSy4/VNcZyk0TkUI/AAAAAAABS68/VMxNs4xs2tM/s1600/IMG-20150207-WA0028.jpg)
10 years ago
MichuziUTT AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASHIRIKI WA MKUTANO MKUU WA 31 WA ALAT
Mifuko hii huwawezesha wawekezaji kuweka akiba na kuwekeza fedha zao na zikakua zaidi.Hatimaye huwawezesha...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PewL9P9I7Xo/Vf6jNhKOE9I/AAAAAAABgyI/hMCLv7YWSbU/s72-c/IMG-20150918-WA0028.jpg)
UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA-MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-PewL9P9I7Xo/Vf6jNhKOE9I/AAAAAAABgyI/hMCLv7YWSbU/s640/IMG-20150918-WA0028.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Y43a2jGZN_Q/Vf6jPdDuhwI/AAAAAAABgyQ/LIcNhd4bIuQ/s640/IMG-20150918-WA0030.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-OmMW2LX_ffU/Vf6jPzsviRI/AAAAAAABgyU/6ngmQIhb2Jk/s640/IMG-20150918-WA0034.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-duQwwehNgfs/VnOIV5L3roI/AAAAAAABluc/5sHRvxT_AQ8/s72-c/IMG-20151217-WA0033.jpg)
UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA ELIMU MKOANI TANGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-duQwwehNgfs/VnOIV5L3roI/AAAAAAABluc/5sHRvxT_AQ8/s640/IMG-20151217-WA0033.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-B99AiZiI5Zw/VnOI1_L0E3I/AAAAAAABluk/tIlyS_lXpYo/s640/IMG-20151217-WA0031.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0stAYn98xlw/VnOJfkKsdeI/AAAAAAABlu0/fPNPbwMbK2Y/s640/IMG-20151217-WA0026.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FFUhc6t7ufM/VMyD1jjEF1I/AAAAAAABRnk/AHoQ0NPiRnY/s72-c/IMG-20150124-WA0001.jpg)
UTT-AMIS YATOA SEMINA KUHUSU UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MASOKO YA FEDHA JIJINI ARUSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-FFUhc6t7ufM/VMyD1jjEF1I/AAAAAAABRnk/AHoQ0NPiRnY/s1600/IMG-20150124-WA0001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-c-29kOlhpqM/VMyD2DEW3lI/AAAAAAABRnw/O2Il2Fo4hM4/s1600/IMG-20150130-WA0006.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2B8AyhfVEsg/VP7-08LuohI/AAAAAAAHJWM/cWiesej-Kts/s72-c/Untitled1.png)
UTT AMIS WAFANYA ZIARA MKOANI TABORA NA KUTOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WADAU MBALIMBALI
Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu,vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitaji yao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko(UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedha hizo katika masoko ya fedha na masoko ya mitaji kulingana na waraka wa...
10 years ago
MichuziUTT AMIS YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA 39 NA KUTOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MIFUKO YA PAMOJA KWA WANANCHI
Mpaka sasa UTT AMIS inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto,...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Uwekezaji UTT AMIS na faida zake
WATANZANIA wengi wamepata mwamko wa kuwekeza fedha zao katika biashara mbalimbali lengo likiwa ni kujiongezea kipato na pia kuiongezea thamani fedha yao katika mzunguko. Katika makala haya, Mwandishi Wetu amefanya...