Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA 'DADDY'S WEDDING' MOVIE WAFANA HOUSTON

Jioni ya leo kwenye ukumbi wa Cinema wa AMC Dunvale katika jiji la Houston kulifanyika uzinduzi wa filamu ya Kitanzania iitwayo Daddy's Wedding iliyoongozwa na Mtanzania mwenzetu Bi. Honeymoon Mohamed. Uzinduzi huo ulishuhudiwa na idadi kubwa ya watazamaji, pata picha za tukio hilo hapo chini.

Dada Honeymoon akiwa na Rahim
Wageni waalikwaWaalikwaWageni waalikwa










































Vijimambo

Read more


Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani