UZINDUZI WA MRADI WA 'VUKA INTIATIVE'' NA KAMPENI YA 'MWOGESHE MWANAO' WAFANA ARUSHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-h0-NPWTMCDU/Xmal5Jxl4iI/AAAAAAAAQYA/_muPtfwqKY0VQhedIAQMSlxW5Gaw64WZwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200308-WA0468.jpg)
Mkurugenzi wa Bushback Safari Mustapha Panju akizungumza katika uzinduzi rasmi wa Mradi wa ''Vuka Initiative'' pamoja na kammpeni ya Mwogeshe Mwanao iliyofanyika katika Hoteli ya Corrido Spring iliyopo Jijini Arusha
Mwanzilishi wa ''Vuka Intitiative'' bi Veronica Ignatus akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya ''Mwogeshe Mwanao''
Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Afrika Daniel Urio akizungumza katika uzimduzi wa mradi wa ''Vuka Initiative'' sambamba na Uzindizi wa kampeni ya Muogeshe mwanao
Michuzi