Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIANZE, ONDORO BOY FT DULLY SYKES LAZIMA TWENDE

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes: Promota anayetaka kunipandisha ndege lazima tuandikishane kwenye bima ya maisha

Usafiri wa ndege ndio usafiri wa hara zaidi, lakini kwa Dully Sykes ndio usafiri ambao anaouogopa na kuukwepa katika maisha yake kiasi cha kuwa tayari kukataa show ambayo itamlazimu kupanda ndege. “Sikurogwa wala nini ni tatizo tu linalowatokea watu wengi sio mimi pake yangu”. Dullysykes ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM. Dully amesema promota […]

 

10 years ago

GPL

TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Mzee Sykes enzi za uhai wake. Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake. Baba…

 

10 years ago

Vijimambo

BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake.

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia

Baba mzazi wa Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki dunian akiwa na umri wa miaka 62. Angetimiza miaka 63 February 24. Mtoto wake wa kike aitwaye Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kwenye mtandao wa Instagram. “Mungu akulaze mahali pema peponi baba angu mm nilikupenda lakin mungu alikupenda zaid nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika!ulikua ni mtu […]

 

10 years ago

CloudsFM

Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes

Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Dully Sykes — Dodoma

Dully Sykes - DodomaWimbo mpya wa msanii Dully Sykes wimbo unaitwa “Dodoma”. Studio 4.12 Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani