Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Alikiba & Christian Bella – Nagharamia

12393764_153025001728677_299234103_n

Video mpya ya wimbo “Nagharamia” wa Alikiba na Christian Bella video imeongozwa na Enos Olik kutoka Kenya, video imefanyika pia Nchini Kenya angalia hapa alafu toa maoni yako.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nagharamia ya Christian Bella na Alikiba haitoki bila video

Christian Bella amesema wimbo aliofanya na Alikiba ‘Nagharamia’ utachelewa kuachiwa kwakuwa walikubaliana kuanza na video. Bella amesema wameamua kuonjesha tu wimbo huo ili kuwatoa hofu mashabiki wanaoisubiria kazi hiyo kuwathibitisha kuwa ni kweli wameshaurekodi. “Tulikubaliana kushoot video ndio tutoe kazi,” amesema Belle. “Kwahiyo hatujapata nafasi ya kushoot video. Labda tutaondoka Jumatatu kwenda kushoot video tumejipanga […]

 

9 years ago

Bongo5

Christian Bella na Alikiba wamaliza kushoot video ya ‘Nagharamia’ South

Christian Bella na Alikiba waliopo nchini Afrika Kusini, wamekamilisha ku-shoot video ya wimbo wao ‘Nagharamia.’ Bella ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo ilienda kama walivyopanga. “Video tumemaliza jana, imeenda poa na November inatoka audio na video, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie mambo mazuri yanakuja,” ameiambia Bongo5. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]

 

9 years ago

Bongo5

Christian Bella na Alikiba watua Afrika Kusini kuandaa video ya ‘Nagharamia’

Christian Bella na Alikiba tayari wameshatimkia nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuandaa video ya wimbo wao mpya, ‘Nagharamia.’ Hivi karibuni Bella aliambia Bongo5 kuwa walishindwa kuutoa wimbo huo kutokana na ratiba zao kutofautiana. Na sasa kupitia ukurasa wa Instagram, Bella amepost picha na kuandika: Nagharamia video loading.’ Mashabiki wa wawili hao wamekuwa na kiu kubwa […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: ALI KIBA & CHRISTIAN BELLA - NAGHARAMIA (Official Video)



Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Christian Bella f/ Alikiba — Nagharamia

nagharamia artwork

Christian Bella na Alikiba wameachia collabo yao ‘Nagharamia’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Isikilize hapo chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba na Christian Bella watangaza ‘dili’ kwa anayetaka kufanya filamu ya ‘Nagharamia’

Bella na Ali Kiba

Mashabiki wa Alikiba na Christian Bella muda si mrefu watapata kusikia na kuona collabo ya wakali hao waliyokuwa wakiisubiri kwa hamu kwa muda mrefu.

Bella na Ali Kiba

Kiba na Bella ambao wameshoot video ya wimbo wao mpya ‘Nagharamia’ nchini Afrika Kusini, wamesema kuwa wimbo huo una story nzuri ambayo inaweza hata kutengenezewa filamu.

“Nyimbo tuliyoimba inaweza ikawa hata sound track ya movie kwasababu ni story ambayo inavutia, inapendeza…” Alikiba alifunguka kupitia 255 ya XXL. “Ni idea nzuri ambayo...

 

9 years ago

Bongo5

Teaser: Alikiba aonjesha collabo yake mpya na Christian Bella ‘Nagharamia’ (Audio)

Alikiba a.k.a King Kiba na Christian Bella a.k.a mfalme wa masauti wamekuwa wakitoa ahadi ya kufanya collabo kwa muda mrefu, na mashabiki wamekuwa na shauku ya kusikia kile kilichofanywa na wakali hao kwa kuzingatia uwezo mkubwa walionao. ‘Nagharamia’ ndio jina la wimbo huo ambao unatarajiwa kutoka hivi karibuni. Alikiba ameshare kionjo kidogo cha wimbo huo […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: ALI KIBA & CHRISTIAN BELLA - NAGHARAMIA (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani