Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: B Red Ft Akon – Cucumber

B-Red-Ft-Akon-Cucumber

Msanii B Red kutoka lebo ya HKN Music ya Nigeria inayo milikuwa na kaka yake msanii Davido ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Cucumber”, Amemshirikisha Akon.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

New Video: D’Banj ft. Akon — Frosh

Star wa Nigeria, D’Banj ameachia video ya wimbo aliomshirikisha Akon – Frosh. Frosh ni wimbo unaopatikana kutoka kwenye Visual EP: An Epic Journey ya star huyo. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: D'BANJ - FROSH ft. AKON (Watch it here)



Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

BBC

VIDEO: Akon 'bringing electricity to Africa'

Senegalese born hip-hop musician Akon is hoping to bring electricity to 600 million people across Africa through his Lighting Africa project.

 

9 years ago

GPL

MAYUNGA NALIMI AELEKEA MAREKANI KUREKODI VIDEO NA AKON

Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa tukio la kumuaga kwa ajili ya kwenda nchini Marekani. Hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi ya Airtel Morocco jijini Dar Es Salaam. Pichani katikati ni Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde, akifatiwa na Mwalimu wa sauti Tony Joet. Ofisa Uhusiano na Mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: D’banj & Akon – Feeling The Nigga (REMIX)

Baada ya msanii kutoka Nigeria D’Banj kutoa wimbo wake mpya ya “Feeling the Nigga” sasa kaamua kuitengeneza Remix ya wimbo huo, kamshirikisha Akon Uzinduzi wa video hii ulifanyika mwisho wa wiki iliyo pita Lagos, Nigeria siku ambayo D Banj alikuwa akifanya party yake ya kutimiza miaka kumi kwenye muziki.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mayunga akamilisha collabo yake na Akon na kushoot video siku moja, amtumia model wa Chris Brown

Mayunga na Akon

Kazi iliyompeleka mshindi wa Airtel Trace Music Star, Mayunga Nalimi nchini Marekani, ya kufanya collabo na boss wa label ya Konvict Music, Akon imekamilika.

Mayunga na Akon

Mayunga ameelezea jinsi kazi hiyo ilivyofanyika kwa siku moja, kuanzia kupewa wimbo kuushika, kurekodi na kushoot video vyote ndani ya saa 24.

“Nilikua nina siku moja tu yakushika kila kitu kwenye wimbo niliopewa” Mayunga ameiambia TeamTz “Kwahiyo ilinibidi nijitume ili niufahamu vizuri wimbo ili nifanye kitu kizuri hata bwana Akon...

 

11 years ago

Bongo5

Video: Akon adai ndoa ya Jay Z na Beyonce ni ya biashara, The Carters wakaa kwenye hoteli ya tshs mil.50 kwa usiku 1

Wakati ambapo tetesi za kukaribia kuvunjika kwa ndoa ya Jay Z na Beyonce zikiendelea kushika kasi, msanii mwenzao, Akon amezungumza anachokiona kuhusiana na uhusiano wa mastaa hao. “Uhusiano wao umekuwa wa kibiashara katika ulimwengu wa nje kuliko uhusiano wa kawaida,” Akon alimwambia mwandishi wa TMZ aliyemuuliza anauonaje uhusiano wa Jay na Bey. “Ukiwa mtu unayejulikana […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Documentary ya Ukimwi iliyofanywa na Vanessa Mdee ‘Red: Generation Free’

Red

Katika kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani, December 1, Vanessa Mdee na Coca-Cola wameshirikiana kuandaa documentary ya Red: Generation Free. Itazame.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

TheCitizen

Caught red handed by my dearest Bisho Ntongo catches me red handed

Someone tells the new tenant in this rat and roach-infested Uswaz that I am happily married to my one-and-only Bisho Ntongo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani