VIDEO MPYA: YEMI ALADE - KISSING (FRENCH REMIX) FT. MARVIN
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL10 Sep
10 years ago
GPL21 Mar
9 years ago
GPL23 Sep
10 years ago
GPL14 Mar
10 years ago
GPL15 Jun
11 years ago
Bongo510 Jul
New Video: Yemi Alade wa Naija ampata ‘Johnny’! Mtazame katika video yake mpya ‘Tangerine’
Mwimbaji wa Nigeria Yemi Alade hana jina kubwa sana Tanzania, lakini video na wimbo wake wa ‘Johnny’ (I’m looking for my Johnny…questiion) umejipatia umaarufu mkubwa. Yemi ameachia video mpya ‘Tangerine’ ambayo ndani yake kamuonesha video model wa kiume muigizaji Alex Ekubo, ambaye kwenye video anaonekana amevaa jezi iliyandikwa ‘Johnny’ kwa nyuma. Hii inaunganisha maana ya […]
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Muonekano mpya wa Yemi Alade
STAA wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade ameachia picha zake mpya zinazoonyesha muonekano wake wa sasa.
Picha hizo zimepigwa na mpiga picha Kelechi Amadi-Obi.
9 years ago
Bongo502 Nov
Yemi Alade aweka rekodi mpya ya Youtube
Baada ya P-Square kuweka rekodi ya kuwa wasanii wa kwanza wa Nigeria kufikisha views milioni 30 Youtube kupitia video yao ya ‘Personally’ mwezi November 2014, na baadaye kuivunja rekodi yao wenyewe kwa video hiyo kufikisha views milioni 40 mwezi April 2015, msanii Yemi Alade naye ameweka rekodi kama hiyo kwa wasanii wa kike. Yemi Alade […]
10 years ago
GPL13 Jan
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania