Video: Tekno ameshafika Dar es salaam Dec 29
Mkali wa hit singo ya Duro kutoka ambaye asili yake ni Nigeria Tekno tayari ameshawasili Bngo kwaajili ya kufanya show ya funga mwaka. Hapa nimekusogezea video akiwasili uwanja wa ndege na alivyoyajibu maswali Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili […]
The post Video: Tekno ameshafika Dar es salaam Dec 29 appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Video ya bomoabomoa Kinondoni Dar es salaam Dec 17.
Dec 17 2015 kazi ya kuwahamisha wananchi wote waishiyo katika maeneo hatarishi iliendelea kwa kuzibomoa nyumba zote zilizopo mabondeni katika baadhi ya maeneo Dar es salaam ikiwa ni pamoja na bonde la Msimbazi lililopo Kinondoni, tazama hii video ya tukio zima la ubomoaji. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Video ya bomoabomoa Kinondoni Dar es salaam Dec 17. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
GPL13 Nov
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Rima Ft. Tekno — Feeling You
![Rima-Ft-Tekno-Feeling-You-Video-740x379](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Rima-Ft-Tekno-Feeling-You-Video-740x379-300x194.png)
Weeks after dropping the audio, BMCMB frontliner – RIMA drops the visuals to his captivating club tune – “Feeling You”, featuring Triple MG superstar – TEKNO.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo519 Dec
New Video: Tekno Miles (Nigeria) — Anything
9 years ago
Bongo518 Nov
Video: Diamond atease wimbo mpya wa Tekno wa Nigeria, je ni collabo?
![tekno-miles-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tekno-miles-1-300x194.jpg)
Mkali wa ‘Duro’ Tekno Miles kutoka Nigeria anatarajia kuachia wimbo mpya wiki ijayo, baada ya kufanya vizuri na single ya ‘Duro’ ambayo imeshika chati mbalimbali za Afrika.
Mshindi wa tuzo 3 za Afrima 2015, Diamond ambaye yuko Nigeria alikoenda kwenye tuzo hizo, amewaonjesha mashabiki kupitia akaunti yake ya Instagram kionjo cha wimbo huo. Platnumz amepost video aliyojirekodi akiwa na Tekno kwenye gari yake wakisikiliza wimbo huo huku Tekno akiimba.
“Forget About DURO… we are about to...
9 years ago
Bongo531 Dec
DJ wa Jay Z, Young Guru ammwagia sifa Tekno wakiwa Dar
![10375872_1541509622839066_535891423_n (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/10375872_1541509622839066_535891423_n-1-300x194.jpg)
DJ wa Jay Z, Young Guru ambaye yupo nchini, amemmwagia sifa kede kede hitmaker wa Duro, Tekno wa Nigeria.
Kutoka Kulia: B12, Tekno, Young Guru na Kennedy wakiwa kwenye studio za Clouds FM
Wawili hao leo watakuwa na show jijini Dar.
Kupitia Instagram, Guru ameandika:
My Nigerian people already know but it’s time for the rest of the world to take note. My dude Tekno (@teknoofficial) is the next world wide super star. His song “Duro” is out here killing but believe me when I tell you he has...
10 years ago
Vijimambo05 Dec
9 years ago
Bongo529 Dec
Tekno wa Nigeria kutumbuiza jijini Dar kwenye mkesha wa mwaka mpya
![tekno-miles-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tekno-miles-1-300x194.jpg)
Msanii wa Nigeria anayefanya vizuri kwa sasa na hit song yake ‘Duro’, Tekno Miles anatarajiwa kutua jijini Dar es salaam wiki hii kwaajili ya kufunga mwaka na mashabiki wake wa Tanzania.
Tekno ambaye wiki chache zilizopita ameachia wimbo mpya ‘Wash’ unaoendelea kufanya vizuri, anatarajiwa kufanya show kwenye siku ya mwisho ya mwaka huu December 31, kwenye ukumbi wa King Solomon jijini Dar.
Kupitia akaunti yake ya Insta, Tekno aliyewahi kudaiwa kuwa na mahusiano na Agnes Masogange ameonesha...
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/9F11/production/_85312704_de34.jpg)
VIDEO: The risks of cycling in Dar es Salaam