Video ya ‘Don’t Bother’ imegharimu milioni 32 — asema Joh Makini
Mara nyingi wasanii wengi wa Bongo huwa hawapendi kutaja gharama walizotumia kwenye kazi zao hususan video wanazofanya, na kila mmoja huwa anasababu zake tofauti za kutotaka kusema ametumia kiasi gani.
Rapper wa Weusi, Joh Makini ambaye hivi sasa wimbo wake mpya ‘Don’t Bother’ umekuwa ‘talk of the town’ toka alipoachia video Alhamisi, iliyofatiwa na audio iliyotoka siku ya Ijumaa (Nov 13) ametaja gharama iliyotumika kukamilisha video hiyo.
Joh makini amesema video hiyo iliyofanyika Afrika...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
New Video: Joh Makini f/ AKA — Don’t Bother
![11296924_1513239595641919_780639845_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11296924_1513239595641919_780639845_n-300x194.jpg)
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini ‘Don’t Bother’ aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini, AKA. Imeongozwa na Justin Campus wa Afrika Kusini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/aztCrdoWq7k/default.jpg)
9 years ago
Africanjam.ComNEW VIDEO: JOH MAKINI - DON'T BOTHER ft. AKA (Official Video)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Bongo510 Nov
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini ft. AKA ‘Don’t Bother’kutambulishwa MTV Base (Nov.10)
![Joh na AKA MTV](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Joh-na-AKA-MTV-300x194.jpg)
Baada ya Nikki Wa Pili wa Weusi kutambulisha wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ Ijumaa iliyopita, sasa ni zamu ya kaka yake Joh Makini kuwaonesha mashabiki wake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kile alichoenda kufanya Afrika Kusini miezi kadhaa iliyopita.
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini ‘AKA’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza leo (Nov. 10) saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki) na kituo cha kimataifa cha MTV Base.
‘Don’t Bother’ imetayarishwa na...
9 years ago
Bongo511 Nov
Music: Joh Makini Ft AKA — Don’t Bother
![artist_211246fd61274cdf6f3e529ee18588604d1a](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/artist_211246fd61274cdf6f3e529ee18588604d1a-300x194.jpg)
Wimbo mpya unaitwa “Don’t Bother” wa rapper Joh Makini kutoka kundi la Weusi amemshirikisha rapper kutoka South Afrika AKA, Producer Nahreel
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
9 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-9gWWSqrHqiM/VkNcsdCnNpI/AAAAAAAAD4Y/QihXMuyyyIY/s72-c/dont%2Bbother%2Bartwork.png)
NEW MUSIC: JOH MAKINI - DON'T BOTHER ft. AKA (Download)
![](http://4.bp.blogspot.com/-9gWWSqrHqiM/VkNcsdCnNpI/AAAAAAAAD4Y/QihXMuyyyIY/s640/dont%2Bbother%2Bartwork.png)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Bongo514 Nov
‘Malkia wa TV’ SA Bonang Matheba ni miongoni mwa mastaa walioikubali ‘Don’t Bother’ ya Joh Makini f/ AKA
![12080549_1675626735985375_1970923371_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12080549_1675626735985375_1970923371_n-300x194.jpg)
Ngoma na video ya Joh Makini, Don’t Bother aliyomshirikisha rapper wa Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA imepata mapokezi makubwa.
Si tu Tanzania, bali hata Afrika Kusini pia mashabiki wameikubali, thanks kwa baraka za rapper huyo wa SA. Kupitia Instagram, AKA aliyekuja Tanzania mwezi May mwaka huu, alidai kuwa aliamua kuchomeka mistari ya Kiswahili kwenye wimbo huo kwa heshima ya Tanzania.
“This for all my Tanzanian fam,” aliandika.
“Did a record with @joh_makini...
9 years ago
Bongo519 Nov
Don’t Bother ya Joh Makini yamshika Mama yake Dully Sykes
![Dully](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Dully-300x194.jpg)
Si vijana tu wanaopagawa na ngoma mpya ya Joh Makini aliyomshirikisha AKA, ‘Don’t Bother.
Mama yake mzazi na Dully Sykes naye ni shabiki wa ngoma hiyo.
Akizungumza XXL ya Clouds FM, Dully alisema mama yake mara kwa mara amekuwa akijaribu kuuimba wimbo huo unaofanya vizuri kwa sasa.
“Mama yangu anapenda sana hip hop na sasa hivi anapenda sana na ananiimbiaga Don’t Brother,”alisema Dully.
“Don’t Brother ndio nyimbo yake ya Joh Makini. Mama yangu ni shabiki wa Hip hop, ni shabiki mkubwa wa...