'Vijana jitoleeni mpate uzoefu'
MOYO wa kujitolea kwa baadhi ya vijana haupo kutokana na wengi wao kutoandaliwa katika mazingira ya kuwahamasisha kujitolea na wengine kutopenda kufanya hivyo. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga wakati akifungua semina elekezi kwa vijana wa kujitolea 27.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania