Vijana watakiwa ‘kufunguka' kifikra
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mafunzo na Ufundi Stadi (VETA), Zebadiah Moshi amewataka vijana wa kitanzania kufunguka kifikra na kuchangamkia fursa, hususan zile za kimataifa zilizo mbele yao, ambazo pamoja na mambo mengine zinahitaji kasi, viwango, stadi na ujuzi unaoendana na soko la kimataifa kulingana na mahitaji ya sasa.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania