'Vikao vya Rais, Ukawa vilinde umoja wa Taifa'
WADAU wamepongeza hatua ya Rais Jakaya Kikwete kukutana na viongozi wa juu wa vyama vya siasa. Lakini, wameonya wahusika kuacha misimamo ya kivyama na kuhakikisha wanakamilisha vikao vyao kwa kuimarisha umoja wa kitaifa.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania