Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WAANDAMIZI WA TBN wakutana na maafisa wa ubalozi wa marekani

Viongozi waandamizi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) wakigonganisha glasi na Afisa Mahusiano ya Umma wa Ubalozi wa Marekani Bi. Marissa Maurer (wa tatu kushoto) na Afisa wa Siasa na Uchumi wa ubalozi huo Bw. Vincent Spera (wa pili kushoto) walipokutana jijini Dar es salaam kwa mazungumzo yasiyo rasmi ili kubadilishana mawazo ya njia bora ya kuendeleza tasnia hiyo ya habari za mtandao inayokuja juu kwa kasi nchini. TBN ni umoja wa bloggers wapatao 100 waliouunda ili kujiendeleza na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAAFISA WAANDAMIZI KUTOKA MABUNGE YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA KUBADILISHANA UZOEFU KAMPALA



 Maafisa Waandamizi kutoka Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya Pamoja wakati wa Semina ya siku nne iliyowakutanisha kwa lengo la kubadilishana Uzoefu, Mjini Kampala - Uganda. Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Kimataifa kutoka Bunge la Tanzania Ndg. Jossey Mwakasyuka akifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa warsha ya kubadilishana uwezo iliyowakutanisha Maafisa waandamizi kutoka Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki Mjini Kampala Uganda, jana.
KWA...

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI

Mkutano uliowakutanisha Mawaziri wa nchi tano za Afrika Mashariki wakiwemo Mabalozi wa nchini zao nchini Marekani ulifanyika leo siku ya Jumatano Februari 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mkutano huo  uliohusiana na maandalizi ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya nchi ya Marekani na nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.
Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe. Harrison Mwakyembe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mawaziri wa nchi tano Afrika Mashariki wakutana ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani

Na Mwandishi Wetu

Mkutano uliowakutanisha Mawaziri wa nchi tano za Afrika Mashariki wakiwemo Mabalozi wa nchini zao nchini Marekani ulifanyika leo siku ya Jumatano Februari 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mkutano huo  uliohusiana na maandalizi ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya nchi ya Marekani na nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.

Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe....

 

10 years ago

GPL

MAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI‏

Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Harrison Mwakyembe ambaye alikua mwenyekiti wa mkutano wa kujiandaa kutiliana saini makubaliano ya biashara na uwekezaji wa nchi za Afrika Mashariki na Marekani. Utiliano saini huo utafanyika siku ya Alhamisi Februari 26, 2015 katika Ofisi za Wizara ya Biashara Marekani, kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Richard Sezibera kutoka Burundi.… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa Afrika wakutana Marekani

Takriban viongozi hamsini kutoka nchi za Afrika kuhudhuria mkutano mkubwa zaidi wa aina yake kuwahi kufanyika Marekani

 

10 years ago

Michuzi

MAOFISA WAKUU WAANDAMIZI WA POLISI WAKUTANA MKOANI DODOMA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa jana wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mathias Chikawe (katikati) wakiongozana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa kuingia ukumbini kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi...

 

10 years ago

Vijimambo

MAAFISA WAANDAMIZI WA SMZ WATEMBELEA TAIANANMEN SQUARE CHINA

Maafisa Waandamizi wa SMZ wakiwa katika viwanja vya Tiananmen Square Jijini Beijing China, wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Mhandisi Mwalim Ali Mwalim na aliyevaa tai ni Mhandisi wa Idara ya Nishati, Omar Saleh Mohamed na wengine mwenye traksuti ni Afisa Mdhamini WQizara ya Ardhi, Makaazi Maji na Nishati Pemba, Mhandisi wa Miamba, Hemed Salim.Maafisa Waandamizi wa SMZ wakiwa viwanja vya Tiananmen Square wa mbele kabisa ni Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa Maafisa Waandamizi kutoka Nigeria watembelea Wizara ya Mambo

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiukaribisha Ujumbe wa Maafisa Waandamizi kutoka Taasisi ya Taifa ya Mafunzo ya Sera na Stratejia ya Nigeria walipotembelea Wizarani tarehe 20 Julai, 2015. Ujumbe huo upo nchini kwa ziara ya mafunzo ya siku 12 ambapo watatembelea Wizara na Taasisi mbalimbali za hapa nchini.Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Zuhura Bundala akimkaribisha...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa jana wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mathias Chikawe (katikati) wakiongozana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa kuingia ukumbini kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani