Virusi vya corona: BBC Africa Eye yabaini jinsi corona inavyoathiri maisha Sierra Leone
Sierra Leone iliathiriwa vibaya na Ebola ilipoyakumba mataifa ya Magharibi mwa Afrika, na sasa Covid-19. Video hii ya BBC Africa Eye, inaangazia athari za corona.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Virusi vya corona: Jinsi virusi vya corona vinavyobadilisha tabia za raia wa Sierre Leone
Sehemu ya kwanza ya kipindi cha Afrika Eye inaangazia mlipuko wa corona unavyobadilisha tabia za raia wa Sierra Leone kuhusu jinsi wanavyoshirikiana
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Rais wa Sierra Leone kujitenga baada ya mlinzi kuambukizwa virusi
Sierra Leone mpaka sasa ina wagonjwa 43 wa virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili25 May
Virusi vya corona: Jinsi janga la virusi vya corona linavyobadili usafiri wa ndege duniani
Janga la corona limelazimisha mashirika ya ndege kufuta safari na kuegesha ndege
5 years ago
BBCSwahili01 May
Virusi vya corona: Waziri wa Sierra Leone aendesha kikao kwa njia ya video akiwa na mwanae mgongoni
Waziri wa elimu wa Sierra Leone David Sengeh achanganya kazi za ofisi na malezi ya mtoto nyumbani.
5 years ago
BBCSwahili20 Jun
Virusi vya corona: Jinsi wakimbizi walivyoathirka na janga la corona Afrika
Janga la corona limeathiri kwa kiasi kikubwa maisha ya watu. Hata hivyo kwa wakimbizi hususan wale walioko barani Afrika changamoto ni nyingi, kulingana na shirika la wakimbizi.
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya corona: Jinsi viongozi wa Afrika wanavyojikata mishahara kupambana na corona
Rais wa Rwanda na serikali yake aungana na wazo la rais wa Kenya na Malawi kutaka mishahara yao kukatwa ikiwa ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa corona.
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya corona: Victor Wanyama anaelezea jinsi Corona ilivyoathiri mipango
Janga la virusi vya Covid-19, limesababisha athari nyingi mkiwemo mipango ya soka ya wachezaji wa soka la kulipwa Ulaya. Victor Wanyama kutoka Kenya anaelezea jinsi alivyoathiwa.
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya Corona: Jinsi mlipuko wa corona unavyochochea chuki dhidi ya Waislamu India
Jinsi mkutano wa kidini ulivyozua taharuki ya maambukizi ya virusi vya corona India.
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya Corona: Jinsi damu ya mtu aliyepona corona inavyoweza kuwa tiba
Matumaini ni kwamba molekyuli walizozitengeneza zitasaidia kupambana na virusi vilivyo kwa wengine.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania