Virusi vya corona: Trump 'anajiuliza ni kwanini ' watu wanapiga simu sana kuulizia ufanisi wa kemikali za kuua vimelea
Rais anasema kuwa hawajibiki kabisa na kuongezeka kwa sana kwa idadi ya simu zinaripotiwa kupigwa na watu kwa vituo vya dharura juu ya kemikali za kuua vimelea wa magonjwa.
BBCSwahili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania