Virusi vya corona: Watu 127 Wathibitishwa kuambukizwa corona Kenya
Idadi ya maambukizi ya corona Kenya yazidi kuongezeka kila uchao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Watu wanane wathibitishwa kuambukizwa Kenya, idadi yafikia 270
Watu wanane wathibitishwa kuambukizwa Kenya, wawili wapoteza maisha.
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa wapya 15 wathibitishwa Kenya
Wagonjwa 11 ni raia wa Kenya na wanne ni raia wa kigeni ambao walikuwa miongoni mwa watu 545 waliofanyiwa vipimo katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa 9 wapya wathibitishwa Kenya
Rais Kenyatta amethibitisha kwamba uwezo wa kupima virusi hivyo unaendelea kuimarika na kwamba upimaji wa watu wengi kwa wakati mmoja utaanza katika maeneo yaliyolengwa kwanza kabla ya kupelekwa hadi maeneo mengine.
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa 12 wapya wathibitishwa Kenya
watu walioambukizwa nchini kenya wamefikia 396
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya corona: Watu saba wathibitishwa kupona Rwanda
Rwanda imetangaza kwamba watu 7 wamepona virusi vya Corona wiki tatu baada ya kuwa katika kituo cha matitabu ya virusi hivyo.
5 years ago
BBCSwahili27 Mar
Coronavirus: Je, unawatambua watu walio hatarini kuambukizwa virusi vya corona?
Virusi vya corona vinaweza kumuathiri mtu yeyote, lakini watu wenye maradhi fulani pamoja na wazee ni rahisi kupata maambukizi ya ugonjwa huo.
5 years ago
BBCSwahili30 May
Virusi vya corona: Watu 143 wameambukizwa virusi vya corona Kenya
Idadi ya wanaume inaonekana kuwa juu zaidi kati ya wanaopata maambukizi ya virusi vya corona Kenya
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Virusi vya Corona: Watu 15 wapona corona Kenya, wagonjwa wapya 11
Hii ni idadi kubwa zaidi ya watu kupona kwa siku nchini Kenya
5 years ago
BBCSwahili28 May
Virusi vya corona: Watu 147 zaidi waambukizwa corona Kenya
Idadi ya vifo Kenya kutokana na corona yafikia 58 huku wengine zaidi 147 wakithibitishwa kuambukizwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania