Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita ya uenyekiti Bunge la Katiba

Kadiri siku zinavyosogelea uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, ndivyo mpasuko ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) unavyozidi, kutokana na kuwapo kwa makundi mawili yanayojipanga kusimamisha wagombea na ambayo yameanza kuendesha kampeni kuchafuana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sitta apata wapinzani uenyekiti Bunge la Katiba

Wakati Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akichukua kwa mbwembwe fomu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba jana, wajumbe wengine watatu nao wamejitokeza kuwania nafasi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Vita ya Mchungaji na Askofu ndani ya Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa amemvaa Askofu Donald Mtetemela na kumtaka avae rasmi magwanda ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Mwananchi

Vita ya Mchungaji na Askofu ndani ya Bunge Maalumu la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa amemvaa Askofu Donald Mtetemela na kumtaka avae rasmi magwanda ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge Maalumu la Katiba; Vita ya ukada dhidi ya uzalendo

>Macho na masikio ya Watanzania kwa sasa yapo  Dodoma ambako mjadala ya maandalizi ya mchakato wa kuandika Katiba Mpya.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani