VODACOM SAY'S YES TO EXCELLENCE
![](http://2.bp.blogspot.com/-isT3dfcPjvQ/VDJoZ_H92OI/AAAAAAAGoPk/WSmQxwUPHZQ/s72-c/unnamed%2B(57).jpg)
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja wakiinua bango lenye ujumbe wa”We say yes to excellence” ikiwa ni kauli mbiu ya kampuni hiyo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Kutoka kushoto Ofisa mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja Harriet Lwakatare akiwa na wakuu wa idara hiyo Najenjwa Mbaga,Elizabeth Mwamfagasi na Brigita Stephen wakionesha alama ya kidole wakiunga kauli mbiu ya kampuni hiyo ya”we say yes to excellence” katika kuadhimisha wiki ya...
Michuzi